Kenya 2027 ni William Ruto, kama hujui hili basi wewe ni mwanafunzi wa siasa za Kenya.Sio huyo tu wabongo wengi tu tunafuatilia siasa za Kenya sababu zipo competitive and unpredictable yaani mpaka sasa haujui nani atashinda urais 2027. Ila huku kwetu interest imepungua maana unajua hata iweje 2030 CCM itapita bila kupingwa so hakuna kitu interesting tena kwenye siasa zetu.
Alipoambiwa JF imefungiwa na TCRA hakujiongeza kutafuta VPN. Anasubiri mpaka siku 90 ziishe ndiyo utamuona johnthebaptist pamoja na ChoiceVariableYule Yohana mbatizaji hata simuoni siku hizi.
Nani kakudanganya? Kwamba ODM bila odinga inaweza kumpa ushindi Ruto ambaye hana kura za wakikuyu?Kenya 2027 ni William Ruto, kama hujui hili basi wewe ni mwanafunzi wa siasa za Kenya.