Ukiona hivyo ujue jamaa ni mfalme wa chiniTafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti .
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama .
Nyumba hovyo , choo cha makuti hamna maji , mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni , wanakunywa maji ya visima vichafu , hawana miundombinu mizuri.
Kuboresha nyumbani ni muhimu sana kwa ajili ya Wazazi, watoto na sisi wenyewe, kama Uchumi unaruhusu.HILI NI FUNZO..TUMUOMBE SANA MUNGU ATUSAIDIE TUWE NA MAISHA BORA ILI HAPO BAADAE TUSITEGEMEE WATOTO MAANA WATOTO TUMEWAZAA SISI WAZAZI.
SEMA NAE MTOTO KIDOGO AJIONGEZE KUPABORESHA NYUMBANI JAPO SIO LAZIMA.
Acha kufuatilia maisha ya watu kijana!
Hajakupeleka kwao kwa lengo hilo
Nyie ndio mkikutana na classmate mnakutaka kujua maendeleo yake!
Itakusaidia nini?
Mbona husemi kama yeye yuko vizuri ki uchumi au laa maana unaweza kuleta umbea umu kumbe kipato chake yeye mwenyewe bada hajajipataKuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
Usafi ni tabia ya mtu usichanganye mada, kuna mtu ana nguo mbili na yuko safi siku zote anafuwa usiku na mwingine anazo nguo kibao lakini anavaa nguo mpaka inakuwa chafu ndio abadiri.Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
Wewe ni rafiki yako una uwezo wa kumwambia kuliko kuja kututangazia huku jf vipi mtoto wa kiume huna kaba!Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu