Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunacho Cha kujifunza,watu wanajifanya Smart, Kumbe ovyo walikotoka!Siyo njia sahihi hii na hasa unaposema wewe ni rafiki yake.
Umewajengea kwa asili Yao?Huyo Mjinga nimeamua kumlipua maana ni member wa JF
Mimi naishi na wazazi wangu wote
Hii pia inachangiwa na malezi ya watoto,Nakumbuka nikiwa Mdogo Bibi yangu alikuwa anasisitiza Kujitoa kusaidia watu na ndugu, ndio maisha nayaishi!Rafiki niliosoma nao shule za awali tu ndio walipajua nyumbani tena kwakua shule zilikua karibu since then urafiki mwisho darasani, kazini, kuna baadhi sio kabisa!!!!
but huyo kakosea huez kuishi vizur ukamuacha mama anateseka,,,hua naumia sana nikimuona bibi anaokota makopo au anauza samaki na ukute watoto wapo kuna mmoja alisema watoto hawa mjali ila wanasubir kodi tu wanachukua yote,,nayeye hawez kuondoka kwenda kijijini watauza nyumba yake inasikitisha sana!!!
Safi kabisa,Mungu atakuzidishia,Yes IPO Nyumba nzuri kuzidi hata ambayo nakaa Mimi .
Kama rafiki yako kàlaaniwa nawe pia una laana. Huwezi kuwa na rafiki àna laana wewe ukawa huna laana.Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
HAPANA!, tatizo sio kuwajengea, anaweza kua bado hajawez kuwajengea, but kuwaacha wapikie kuni kweli? wabebe ndoo kwenda kisimani na ni wazee? kuwaacha waishi mazingira machafu? like serious!?We jamaa utakuwa umekulia maisha Bora, sisi mambo ni kwa hatua. Ukitoboa jijenge kwanza kabla ya kuwajengea wazazi au ndugu, mzazi kama anapokaa ni pabovu au ni hatarishi mchukue akae kwa mtoto
Umeandika kwa ujumla sana,maisha mazuri yapi,isije kuwa jamaa kapanga nyumba nzima kimara,furniture za kisasa na kagari ka mkopo ukaita maisha mazuri.Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
Wengine wanapiga picha kabisa na kuchukua video. Ni kweli wafanyakazi wenzako au hata majirani zako kwenye mkoa mwingine, usiwapeleke nyumbani kwenu.Ndiyo maana hata nikipata msiba sitaki kusindikizwa na wafanyakazi nyumbani. Naenda kimya kimya tu.
Nyie marafiki wa kazini mwapenda kutangaza mambo ya watu. Mnakuja kama marafiki kumbe ni wapumbavu tu🖕🏿🖕🏿
Mtoa mada ni mnafiki (rafiki wa mashaka).K
Kama rafiki yako kàlaaniwa nawe pia una laana. Huwezi kuwa na rafiki àna laana wewe ukawa huna laana.
Ungekuwa huna laana ungerekebisha hiyo hali na uondoe hiyo laana mliyonayo nà si kuja kutangaza hali ya huyo mlaaniwa mwenzako.
Vijiji vyote vina umemeKuhusu mambo ya maji ni mipango mibaya ya serikali kutokufikisha huduma hiyo.kwa kijijini huwezi kumjengea choo Cha kisasa Kwa sababu itahitajika MOTA ya kupandisha maji ambayo inatumia umeme wakati huo serikali haijapitisha umeme.kuhusu kuwajengea nyumba huenda huyo jamaa Yako Bado anajitafuta ili kuwajengea maana hata yeye lazima anamajukumu makubwa yamembana.