Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna Cha kujifunza mkuu,!Wacha atiririke!K
Kama rafiki yako kàlaaniwa nawe pia una laana. Huwezi kuwa na rafiki àna laana wewe ukawa huna laana.
Ungekuwa huna laana ungerekebisha hiyo hali na uondoe hiyo laana mliyonayo nà si kuja kutangaza hali ya huyo mlaaniwa mwenzako.
Hawa watu wa namna hii sio wa kuambatana nao popote, achana na kuwakaribisha nyumbani.Huyo rafiki yako anakuamini sana na anajua wewe ni rafiki yake wa kweli kabisa,
ndio maana hakua na wasiwasi akakupeleka kwao,
Cha ajabu badala ya kumshauri kama rafiki yako na mtu aliyekuamini,wewe umekimbilia kuja JF kumuanika hali ya kwao na kuja kutuuliza sisi hapa!
Kwanini usingemuuliza huyo rafiki yako huko huko?
Baada ya wewe kuona maisha ya huyo Mama mzee yalivyo,wewe ulitoa msaada gani au ushauri gani? au ndio umekimbilia tu huku JF?
Ungemsaidia huyo Mama ingependeza zaidi au ungemshauri Rafiki yako live ingekua sawa kabisa.
Ameshakuja home Sana , isipokuwa habadiliki Ila nilivyomlipua najua hotapata usingizi leo
Wafanyakazi siyo nduguWengine wanapiga picha kabisa na kuchukua video. Ni kweli wafanyakazi wenzako au hata majirani zako kwenye mkoa mwingine, usiwapeleke nyumbani kwenu.
Nani kakudanganya?Vijiji vyote vina umeme
Hao ndio wanafiki wenyewe.....ameacha kumshari huyo rafikie anakuja kuleta umbeya hukuUlimuuliza huyo rafiki yako?
Hakuna wa kudanganyaNani kakudanganya?
Wewe si rafiki kwake.Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
Hata huyu jamaa atakuwa alikunya porini!Ungemwambia jamaa choo cha mzazi kiko hovyo na ungempiga tagi mshkaji kwakujenga choo bora hadi mnaondoka kingekuwa tayar.
Sawa umetuambia sisi lakini na yeye umemchana kama hivi unavyotuambia? Kama haujafanya hivyo bhasi huu ni unafki na umbeaKuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs anabeba ndoo ya maji kichwani.
Is all about shit.
Hivi inakuaje mtu unaishi mjini vizuri then wazazi wanaishi sehemu chafu Kama hizo wanapikia makuni, wanakunywa maji ya visima vichafu, hawana miundombinu mizuri.
Ni mjinga sana huyu jamaa.Hao ndio wanafiki wenyewe.....ameacha kumshari huyo rafikie anakuja kuleta umbeya huku
Kashatangazia kila mtu!Ni mjinga sana huyu jamaa.
Hapo ni mwanaume angekuwa mwanamke si angatangazia kila mtu