Jamal Bakhresa: TFF imeharibu mpira wa Tanganyika. Azam FC nitaihamishia Zanzibar

Jamal Bakhresa: TFF imeharibu mpira wa Tanganyika. Azam FC nitaihamishia Zanzibar

Aihamishe tu, na yeye mwenyewe pia akitaka ahamie huko huko. Anaongelea habari ya rushwa kwenye mpira na wakati hata hiyo kampuni yao imepewa baadhi ya miundombinu mfano majengo, kwa njia za upendeleo/rushwa!
 
Na mdomo wake kama kajaza mate mashavuni. Anaongea kama bwabwa
Azam ndio team yenye impact kubwa kwenye soka la Tanzania kuliko team yoyote ile.


Sasa hivi ni team chache hazina mchezaji ambae amewahi kupitia Azam kwenye ligi kuu Hadi ligi daraja la kwanza.
 
Screenshot_20260705-080544~2.jpg
 
Sasa hapa kati yako na yeye nani anaonekana bwabwa? Acha ujuaji usio na maana na kuongea vitu vya ajabu mbele za watu.

Mzee yupo sawa, na watu wenye uelewa wameshaona huo upuuzi wa TFF na sasa hawafuatilii tena mpira wa Tanzania na ndio maana mahudhurio ya watu uwanjani ni machache sana siku hizi

Kama bwabwa na wewe. Mpira Tanzania nani anafuatilia mwenye akili? Wote nyie mabwabwa mnateteana. Apeleke team huko asitishie. Hatutaki hata huo mpira wenyewe
 
My Take
Naunga mkono wazo la Tajiri kujitoa ligi kuu ya NBC huku Bara Kwa sababu imejaa uonezi wa kuzipendelea Simba na Yanga.

Bahati mbaya mambo ya hovyo kuanzia rushwa,ufisadi,ubinafsi na kutojitambua yamejaa Kila sekta kuanzia michezo Hadi serikalini.

Binafsi sijawahi sikia Kashfa yeyote ya kifisadi Zanzibar au Kwa Kiongozi wa Zanzibar.

Ni wazi Zanzibar Kuna watu waadilifu kuliko huku Bara.Kama unapenda Haki Bora kwenda Zanzibar
 
Back
Top Bottom