My Take
Naunga mkono wazo la Tajiri kujitoa ligi kuu ya NBC huku Bara Kwa sababu imejaa uonezi wa kuzipendelea Simba na Yanga.
Bahati mbaya mambo ya hovyo kuanzia rushwa,ufisadi,ubinafsi na kutojitambua yamejaa Kila sekta kuanzia michezo Hadi serikalini.
Binafsi sijawahi sikia Kashfa yeyote ya kifisadi Zanzibar au Kwa Kiongozi wa Zanzibar.
Ni wazi Zanzibar Kuna watu waadilifu kuliko huku Bara.Kama unapenda Haki Bora kwenda Zanzibar
View: https://www.instagram.com/reel/DaYwGqDodso/?igsh=anh0c2J0N2swNGM4