Jamal Bakhresa: TFF imeharibu mpira wa Tanganyika. Azam FC nitaihamishia Zanzibar

Unaiongelea ligi kujaa rushwa na wakati chanzo kikuu cha hiyo rushwa yenyewe kusambaa kila mahali, ni chama na serikali yako ya ccm!

Hakika unashangaza sana.
Hayo matusi yote yanaenda kwa Mama yako
Ukweli ni kwamba huku Bara kuna jamii ya watu wabinafsi na wasio waadilifu ndio maana unaona mambo ya hovyo ni mengi.
 
Ni mpumbavu sikutegemea ataongea ujinga kama huu, mwenyekiti wa bodi ya ligi anatokea Azam.
Mechi ya Simba na Azam kwenye ligi Simba walikataliwa penati mbili za wazi na mwamuzi hakutoa kauli zozote.

Wao ndio wanapeleka mechi Zanzibar na hata kupelekwa Pemba wao wana mkono halafu wanalalamika nini.
Simba waliomba refa atoke nje lakini wao walikaa kimya maana yake walitegemea marefa wa ndani wakichezesha wao watanufaika.

Ile mechi wachezaji wao walicheza sana rafu, angekuwa refa makini Mshindo na wachezaji wengine wangekula umeme.

Wamechanganyikiwa sababu hawajapata kile walichotegemea.
 
Tatz
My Take
Naunga mkono wazo la Tajiri kujitoa ligi kuu ya NBC huku Bara Kwa sababu imejaa uonezi wa kuzipendelea Simba na Yanga.

Bahati mbaya mambo ya hovyo kuanzia rushwa,ufisadi,ubinafsi na kutojitambua yamejaa Kila sekta kuanzia michezo Hadi serikalini.

Binafsi sijawahi sikia Kashfa yeyote ya kifisadi Zanzibar au Kwa Kiongozi wa Zanzibar.

Ni wazi Zanzibar Kuna watu waadilifu kuliko huku Bara.Kama unapenda Haki Bora kwenda Zanzibar

View: https://www.instagram.com/reel/DaYwGqDodso/?igsh=anh0c2J0N2swNGM4%5B/UR

[URL unfurl="true" media="instagram😀aYwGqDods

Tatizo mnaongea tu hiyo ligi ya zanzibar nani huwa anafatilia?…kuna ligi duniani ambayo hakuna hayo mambo ya marefa??…EPL kuna VAR na ndo the best league in the world ila kila weekend kuna malalamiko ya kiuamuzi,

Hawa Azam waendeshe timu kimazingira ya Tanzania, wakitumia sana uzungu watachelewa sana…wenzako wanafanya uhuni na wanafanikiwa kwanini wewe usifanye pia?..

Timu yao imejaa mamluki wa timu za kariakoo, kuna muda Adui yako unampa makazi kila siku…tabia ya kuwarusu simba na yanga watumie chamazi nayo ni tatzo ila…inshort Azam rasmi nawao waanze kuwa wahuni.
 
Acha mzaha,mambo ya marefa huku Tanzania Yako wazi na ni yamekuwa programmed kuzionea Timu zingine zote kasoro Simba na Yanga so wengine wanakuwa wasindikizaji.
 
My Take
Naunga mkono wazo la Tajiri kujitoa ligi kuu ya NBC huku Bara Kwa sababu imejaa uonezi wa kuzipendelea Simba na Yanga.

Bahati mbaya mambo ya hovyo kuanzia rushwa,ufisadi,ubinafsi na kutojitambua yamejaa Kila sekta kuanzia michezo Hadi serikalini.

Binafsi sijawahi sikia Kashfa yeyote ya kifisadi Zanzibar au Kwa Kiongozi wa Zanzibar.

Ni wazi Zanzibar Kuna watu waadilifu kuliko huku Bara.Kama unapenda Haki Bora kwenda Zanzibar

View: https://www.instagram.com/reel/DaYwGqDodso/?igsh=anh0c2J0N2swNGM4

Mechi irudiwe , marefa watoke nje

Or hawezi hamia visiwani, ligi kuu bara is better than visiwan
 
My Take
Naunga mkono wazo la Tajiri kujitoa ligi kuu ya NBC huku Bara Kwa sababu imejaa uonezi wa kuzipendelea Simba na Yanga.

Bahati mbaya mambo ya hovyo kuanzia rushwa,ufisadi,ubinafsi na kutojitambua yamejaa Kila sekta kuanzia michezo Hadi serikalini.

Binafsi sijawahi sikia Kashfa yeyote ya kifisadi Zanzibar au Kwa Kiongozi wa Zanzibar.

Ni wazi Zanzibar Kuna watu waadilifu kuliko huku Bara.Kama unapenda Haki Bora kwenda Zanzibar

View: https://www.instagram.com/reel/DaYwGqDodso/?igsh=anh0c2J0N2swNGM4

Wewe unaona uonevu kwenye Simba na Yanga tu, huoni huyo mama yako anavyofanya kwenye nchi yetu ya TANGANYIKA. Ondokeni kwetu mhamie kwenu kwenye watu Millioni 1.2 wanaofanya kila kitu kwa kulamba makalio ya waarabu. Mwambieni na huyo Bakhressa aondoke huku Tanganyika, arudi kwenu. Hatumtaki huku. Mchukueni na huyo mama yenu kitambi arudi huko Mchambawima.
 
Umekosa hoja,Mimi sio Mzanzibari ljini ukweli ndio huu haya mengine ni kukitahudi kufunika harufu ya mavi Kwa neti.
 
Acha mzaha,mambo ya marefa huku Tanzania Yako wazi na ni yamekuwa programmed kuzionea Timu zingine zote kasoro Simba na Yanga so wengine wanakuwa wasindikizaji.
Ndiyo ila kama ungekua unafatilia ligi ya England vizuri kila wiki ungeona jinsi makocha wanavyolalamika makosa ya marefa kila wiki.

Halafu mpaka leo hatuna VAR, hii VAR ililetwa rasmi sababu wanafahamu fika marefa huwa wanakosea na hawaoni kwa wakati makosa uwanjani…wakulaumiwa ni TFF na bodi ya ligi na serikali kwa ujumla mpaka leo hatuna matumizi ya VAR nchini na ukiangalia taifa linazidi kuwa kubwa kimpira na malalamiko ya marefa ni mengi sana…sasa ndo tunarudi nikichosema mwanzo Simba na Yanga wanafaidika na huo uhuni vilivyo.
 
Back
Top Bottom