Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Last edited by a moderator:
Nipo hapa mdogo wangu mpenzi beibe nasty, si unajua majukumu kusaidiana!
Hvo namsaidia shemejio Ben Saanane tunyakue jimbo mojawapo 2015!
Nawakumbuka sana wadogo zangu, wewe Queen Kan, miss strong na wifi Chocs.

Swits jinsi unavyonitafutia wapiga kura hasa kundi la wanawake kweli sikukosea kuchagua.Wewe ni mahiri

Nawaasa wanasiasa wenzangu hasa ambao hawajaoa/kuolewa wawe makini katika kuchagua
 
mie nampenda Ritz natamani awe anakuja huku MMU sema ye yuko siasani mda wotee

Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…