Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Jaman kuna nampenda sana Christine wa jf

Last edited by a moderator:
Nipo hapa mdogo wangu mpenzi beibe nasty, si unajua majukumu kusaidiana!
Hvo namsaidia shemejio Ben Saanane tunyakue jimbo mojawapo 2015!
Nawakumbuka sana wadogo zangu, wewe Queen Kan, miss strong na wifi Chocs.

Swits jinsi unavyonitafutia wapiga kura hasa kundi la wanawake kweli sikukosea kuchagua.Wewe ni mahiri

Nawaasa wanasiasa wenzangu hasa ambao hawajaoa/kuolewa wawe makini katika kuchagua
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo

Kaizer kila siku mi namwambia mi ni wake peke yake,lakin amekuta text ya Simplicity

amepanick balaa,usiku kucha nimetumia kumuelewesha,had yale mambo yetu hatujafanya
Heaven on earth tuendelee kidogo walau upoze koo

images
 
Last edited by a moderator:
mie nampenda Ritz natamani awe anakuja huku MMU sema ye yuko siasani mda wotee

Hongera.
Mie Ritz angekuwa si shemeji yangu, ningem-beba, btw ndio hvo tena.
Ila nitakuunganishia, ondoa shaka.
Mie niko na ZeMarcopolo tu.
Sijui huyu kijana kanipa nini!
Kha, mpaka najishangaa.
Hebu ninyamaze mie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom