figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Heaven on earth: Akijua Mr. Perfect wako, unalo!
Atakua shetani ndiye kamuanindika Heaven on earth. Kwa mkono wake hawezi. Mia
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heaven on earth: Akijua Mr. Perfect wako, unalo!
Atakua shetani ndiye kamuanindika Heaven on earth. Kwa mkono wake hawezi. Mia
Ss hapa naona tindikali itahusika!...
Jamani mna hela za kwenda S.A/India!? Teh teh....
Kaizer tukiwanyima tunaringa/tunawazungusha, tukikubari chapchap! Kipi bora
Ngoja ngoja yaumiza matumbo
Atakua shetani ndiye kamuanindika Heaven on earth. Kwa mkono wake hawezi. Mia
babe figganigga hakuna wa kukupokonya,mie ni wako
Kaizer kila siku mi namwambia mi ni wake peke yake,lakin amekuta text ya Simplicitybora umpe reassurance manake figganigga ana hasira za akribu sana. ,mia
Atakua shetani ndiye kamuanindika Heaven on earth. Kwa mkono wake
Majina yenye chris yana nguvu kubwa sana ya mvutano, kama christine, Cynthia Chriss n.k.
Mi namtafuta dada Madame B memkosa (memmiss)jaman..haya mnaokataliwa pm mkuje hapa kuwa appreciate misimamoo hehe chezeiya cyber matters..
Miss u Madame B....hop upo poa nw!!!!!
Nipo hapa mdogo wangu mpenzi beibe nasty, si unajua majukumu kusaidiana!
Hvo namsaidia shemejio Ben Saanane tunyakue jimbo mojawapo 2015!
Nawakumbuka sana wadogo zangu, wewe Queen Kan, miss strong na wifi Chocs.
Madame,
Naona hii season watu ni mwendo wa kufall in love tu. Ni dalili nzuri lakini, mtu mwenye njaa hawezi kufall in love...
Ngoja ngoja yaumiza matumbo
Heaven on earth tuendelee kidogo walau upoze kooKaizer kila siku mi namwambia mi ni wake peke yake,lakin amekuta text ya Simplicity
amepanick balaa,usiku kucha nimetumia kumuelewesha,had yale mambo yetu hatujafanya
mie nampenda Ritz natamani awe anakuja huku MMU sema ye yuko siasani mda wotee