Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Acha kuzunguka mbuyu sema tu ukweli umechoka kusubiri, usijali leo ndege ataingia tunduniTangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.
Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Teacher, pole sana! Acha kujifanya unadai, wakati wewe ndie unapumulia mashine hapo, unadaiwa simu hupokei!!!Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.
Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Una machale kama mimi mkuuUna ulizia mshahara kimkakati sana champion 🤔
Ameipiga kitaalamu sana,Una ulizia mshahara kimkakati sana champion 🤔
Jamaa ni akili mingi kabisa , huyu akifungiwa ndani anaweza gundua kitu .Ameipiga kitaalamu sana,
Huyu jamaa ni Genius sana, huwezi amini we ndo umetusanua mwamba alikua ametupoteza kabisa kwenye mfumo...Jamaa ni akili mingi kabisa , huyu akifungiwa ndani anaweza gundua kitu .
Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.
Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
Mtumishi wa Umma anaulizia kijanja kama umesoma.Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza.
Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.