Bado yuko vizuri sana kiuchumi kukua, ujenzi wa miundombinu ya barabara, ujenzi wa mahospitali, umaliziaji miradi ya kimkakati na kukua kwa ajira kupitia sekta binafsi. Ataweka rekodi ambayo itawapita watangulizi wake kwa kiasi kikubwaView attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
I think ni vizuri kujikita kwenye hoja mahususi mezani bila kujaribu kuhamisha mjadala mahususi uliopo mezani kwa porojo gentleman 🐒Bosi wako Mwigulu huko yamemkuta,mikwala yote Ile kumbe,kumbe zero.
Ila Kuna wanawake ndani ya ndoa wavumilivu sana
Umeandika vya uongo. Samia wa wakati huo na sasa ni yule yule, aliyebadilika ni wewe na hao wengine wanaoshangaaKipindi kile hata mimi ningebeba bendera yake ya chuma alikotokea shetani na kumbadilisha nilishangaa sana kwa kweli sikutegemea kama yaliyotokea 29 October ilikua ni mipango yao inaumiza sana sana.
Shetani ana wafuasi wengi, unafikiri hao wafuasi huwa wanaamini shetani ni mbaya?Bado yuko vizuri sana kiuchumi kukua, ujenzi wa miundombinu ya barabara, ujenzi wa mahospitali, umaliziaji miradi ya kimkakati na kukua kwa ajira kupitia sekta binafsi. Ataweka rekodi ambayo itawapita watangulizi wake kwa kiasi kikubwa
Kwenye kikao hapakosi mengineyo mkuu.I think ni vizuri kujikita kwenye hoja mahususi mezani bila kujaribu kuhamisha mjadala mahususi uliopo mezani kwa porojo gentleman 🐒
Mnasingizia shetani kwa vitu vingi sana kumbe ni uvivu wa kutumia akili zenu tu. Samia ni yuleyule anapiga kazi, nyinyi endeleeni kuoiga domo. Tukutane 2030Shetani ana wafuasi wengi, unafikiri hao wafuasi huwa wanaamini shetani ni mbaya?
Utakua umepoteza kumbu kumbu mimi sijawahi kuwa na hangover zozote Mkuu nafanya biashara zangu nje ya Tanzania awe Magufuri au wewe sipati madhara yeyote ila alisifiwa mpaka watu walianza kusema nani kama Mama na nakumbuka alipowarudishia wafanyabiashara wa kubadilisha fedha kiasi fulani nikaona mbona kama anaenda sawa unataka mawazo yangu yawe kama yako aisee sio kweli.Umeandika vya uongo. Samia wa wakati huo na sasa ni yule yule, aliyebadilika ni wewe na hao wengine wanaoshangaa
Utofauti uliopo ni kuwa watu(mfano wewe) walikua kwenye hangover baada ya utawala wa magufuli kuondoka, hivyo chochote ambacho angefanya Samia kingeonakana cha maana.
IBaada ya hangover kuisha na akili kurudi ndio sasa mnaona kuwa Samia yule na WA sasa ni tofauti wakati si kweli
Mbowe pamoja na viongozi wengine wa chadema walikamatwa miezi mitatu tu baada ya Samia kuwa raisi. Hapo utofauti na sasa uko wapi?
ok.Kwenye kikao hapakosi mengineyo mkuu.
Na wenyewe ni mwashambwa na tlahtlah 😂😂😂
Wahuni wameshika RIMOTI.View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Ni kweli awamu ya kwanza alichapa kazi ambayo hata Magu asingefanya alikamilisha miradi ya matrilioni. Awamu hii waswahili na wazanzibari wamemzonga sana hawezi hata kupumua.View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Ndio maana nikasema ulikua/mlikua na hangover. Hakuna siku hao wafa yabiashada wa kubadilisha fedha walirudishiwa chochote. Lakinki si unaona wewe unaamini kuwa Samia alipojngia aliwarudishia.Utakua umepoteza kumbu kumbu mimi sijawahi kuwa na hangover zozote Mkuu nafanya biashara zangu nje ya Tanzania awe Magufuri au wewe sipati madhara yeyote ila alisifiwa mpaka watu walianza kusema nani kama Mama na nakumbuka alipowarudishia wafanyabiashara wa kubadilisha fedha kiasi fulani nikaona mbona kama anaenda sawa unataka mawazo yangu yawe kama yako aisee sio kweli.
Nimekueleza hata shetani ana wafuasi na huamini kuwa shetani ni mwema. Kama huwezi kuelewa nilichoandika nakupa poleMnasingizia shetani kwa vitu vingi sana kumbe ni uvivu wa kutumia akili zenu tu. Samia ni yuleyule anapiga kazi, nyinyi endeleeni kuoiga domo. Tukutane 2030
Mkuu wewe endelea na mambo yako bhana acha kudanganya maana ilikua watu kupita airport wanasechiwa na kupewa kesi za utakatishaji fedha tena wafanyabiashara wa China ila alipoingia Mama akasema kabisa amekuja kutibu majeraha alianza vizuri sana ila baadae akaja kubadilika na pia mzunguko wa fedha ulikuwepo huko home ila baadae ukaanza kuwepo kwa watu wachache tu na ndio mambo ya siasa yalipoanza kwenda kasi na mambo ya utekaji ukakomaa mpaka mambo yakaharibika na yalianzia kwa Sativa ikaja kauli ya Kibao na October 29 ndio ikaharibu kabisa matukio mengi nayakumbuka vizuri tu.Ndio maana nikasema ulikua/mlikua na hangover. Hakuna siku hao wafa yabiashada wa kubadilisha fedha walirudishiwa chochote. Lakinki si unaona wewe unaamini kuwa Samia alipojngia aliwarudishia.
Hii taarifa ya waziri ilikua 2024 bado ndio kwanza walikia wanawaza kufanha hivyo lakini hadi leo hawakifanya hiko kitu, lakini wewe unaamini 2021 ilifanyika hiko kitu
View attachment 3682593
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Kikngozi mwanzo umekuja na hoja kuwa wafanyabiashara wa bureau walirudishiwa pesa kitu ambachi cha kweli na nimekuwekea taarifa hapo ya serikali yenyeweMkuu wewe endelea na mambo yako bhana acha kudanganya maana ilikua watu kupita airport wanasechiwa na kupewa kesi za utakatishaji fedha tena wafanyabiashara wa China ila alipoingia Mama akasema kabisa amekuja kutibu majeraha alianza vizuri sana ila baadae akaja kubadilika na pia mzunguko wa fedha ulikuwepo huko home ila baadae ukaanza kuwepo kwa watu wachache tu na ndio mambo ya siasa yalipoanza kwenda kasi na mambo ya utekaji ukakomaa mpaka mambo yakaharibika na yalianzia kwa Sativa ikaja kauli ya Kibao na October 29 ndio ikaharibu kabisa matukio mengi nayakumbuka vizuri tu.
Alianza kama yeye, baadae akaiga tembo kunya, matokeo yake akapasuka msamba 29 October. Ushauri aliopata kwa wanaccm wenzake ni kuwa akaruhusu demokrasia ndio kifo cha ccm, maana aliambiwa ukweli ni kuwa kwenye demokrasia ccm haotoboi, na watanzania ni waoga hata wakiporwa kwenye chaguzi hawana la kufanya.Aliona labda nyie wa Tanganyika mnataka kumpanda kichwani Sasa akaona acha aende na nyie perpendicularly