Barabara zipi zimejengwa?? Hizo zilizopo tu zimemshinda hata kuzikarabati mashimo barabarani kama mahandaki kila mahali.Bado yuko vizuri sana kiuchumi kukua, ujenzi wa miundombinu ya barabara, ujenzi wa mahospitali, umaliziaji miradi ya kimkakati na kukua kwa ajira kupitia sekta binafsi. Ataweka rekodi ambayo itawapita watangulizi wake kwa kiasi kikubwa
Kuna was... waliona kuwa mama ni size yao akaamua kuwa mkali namppngeza sana mama samia kuamua kuwakata ngebe za kijingaAliona labda nyie wa Tanganyika mnataka kumpanda kichwani Sasa akaona acha aende na nyie perpendicularly
Mkuu uliyeajiriwa kulinda, huwezi ona tofauti yoyote, mkono wako haujaacha kwenda kinywani.Kuanza vizuri na vibaya kukoje?
CCM mtandao.View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Sasa hivi CCM ni gulio la uongozi na ngazi tu ya kujipatia madaraka na fedha za wizi.CCM mtandao.
By Humphrey Polepole.
USHETANI WA KULA MALI ZA TANGANYIKA! BABA YAKE ALIMKATAZA AKAONA AMUUE MZEE WETU RUKSAView attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Msoga 😳🙄 !Enzi yake ilihitimishwa baada ya yeye kuanza chuki na magufuri
Amemuua nani?Uhalisia unakataa, ana picha ya muuaji zaidi kuliko hizo sifa nyingine.
Kwani unaishi wapi? Au wewe ni kipofu?Barabara zipi zimejengwa?? Hizo zilizopo tu zimemshinda hata kuzikarabati mashimo barabarani kama mahandaki kila mahali.
Unauliza au unapigia Jibu mstari?Amemuua nani?
Samia hajawahi kuua hata mjusi, sembuse ya binadamuUnauliza au unapigia Jibu mstari?
Tatizo si Chadema. kwani walikuwako huko JK akimnadi nje ya utaratibu kwa jina la mgombea wa CCM huko Mwanza.Chadema walishindwa kwenda nae vizuri, walimuhisi ni dhaifu kwa hiyo wakaone watumie njie ya kumpiga pressure kubwa kumbe ndio waliharibu muelekeo.
Yeye aliishia ku panic akaanza kusikiliza ushauri wa watu amabao hawana nia njema na Taifa.
Magufili alikuwa na Grand designs without due repsect kwa Human RightsYeye na Magufuli unafikiri nani mzuri?
Wewe unainaje mkuu, maana unless wewe ni mududu tu wa kuwa manipulated, kwako huono-i kitu.Kuanza vizuri na vibaya kukoje?
Prophetic!
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni mali ya ccm " chacha mwita"View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Mimi Ponjoro Namba Moja, iko maneno!!Ndugu ponjoro mpya kwani wewe ndiye Ponjoro. Wa kinondoni?