yaani EMT baada ya kusoma kile kitabu najiona kama nimekuwa mpya. nishaanza kuyafanyia kazi nitakupa feedback. ile "the secret to money" nairudiaje rudiaje! lol. nataka kumeza kila mstari kwenye hicho kipengele.
hivi nyie moderators sijui mpoje? mnajifanya mnajua sana kuedit au?
Hmm...:caked:
simu yangu antena yake imeng'oka so network ni majanga, sweetlady alinitenda itabidi tuongee shemu wangu