gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,610
yaani EMT baada ya kusoma kile kitabu najiona kama nimekuwa mpya. nishaanza kuyafanyia kazi nitakupa feedback. ile "the secret to money" nairudiaje rudiaje! lol. nataka kumeza kila mstari kwenye hicho kipengele.
Hahaha angalia pia usiitafsiri hyo mistari vibaya
Last edited by a moderator: