Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

Huyo Manzi aliemuambukiza sijui ana hali gani huko na hapo sijui kaambukiza wangapi na ukimcheck bonge ya Pisi kali kalio km chungu cha mpishi
Vijana wawe Makini, Dunia sasa imeharibika usimuamini mtu, watembee na mpira hata kwenye wallet wa Emergency. Unakuta kadada kenyewe ka elfu 2000 na dalili hazijaanza kuonekana na unajaa hapo, matokeo yake ndo haya.
 
Genital warts zinatafuna hizo balaa. Inabidi uende hospital utapata tiba sahii. Usikomae kujitibu mwenyewe utapata tabu na maumivu hadi ushangaae.
Usipende kutomba tomba hovyo bila kinga ,ukichelewa vitaanza kusamba sehemu nyingine za mwili mikononi hadi mkundn
 
Kuna kitu kinaitwa Static Electricity, some times human skin and hair are more likely to accumulate electric charges and have static electricity, hii hutokea pale pande mbili zinaposuguana kama vile ngozi yako na nguo uliyovaa ama kujifunika vikisuguana.
 
Sincerely Speaking In My Humble Opinion Without Being Sentimental And Judgemental And Of course Without Offending Anyone Who Thinks Differently From My Opinion, But Rather Looking Into This Serious Matter Without Perspective Distinction And Views. I Honestly Think And Believe That I Have Nothing To SayπŸ™
 
Nyie ndo huwa mnapigwa makofi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu sikutishi sana ila....
Ukienda hospitali cha moto utakiona dadek..

Utakubali show ile sindano aisee.. picha linaanza kwenye dawa

.. kuivuta tuu shighuli.. dawa ina viscosity kubwa kuliko asali...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukipigwa kidole cha jicho utamlaumu nani?
 
Niingie moja kwa moja kwenye MADA hii kitaalamu inaitwa GENITAL HERPES
tumesha ijadili humu na kina DR HAYALAND, DR MAMBO JAMBO na wengineo kadha wa kadha unaweza ku search nyuzi zipo humu jukwaani..





Kwa kuongezea antibiotics may be helpful if you have both an infection caused by bacteria as well an infection with the herpes virus. In this case, an antibiotic will treat the bacterial infection and may make those symptoms go away, but the herpes virus will remain in your body.

Huu ugonjwa ni common Sana kwa Malaya wachafu

Ntarud hapa baadae kukushaur Cha kufanya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…