Jamani huu ni ugonjwa gan na dawa zake ni zipi?

Barikiwa sana mkuu src n uchafu ama ...
Sio uchafu ni parasite ambao unaweza kuwapata Kwa kumgusa mtu mwenye nao au sehemu aliyogusa mwenye nao, Kwako panaweza pakawa pasafi kama state house lkn ukawapata kupitia seat za mwendokasi au Kwa kugusa kitasa maofisini sehemu aliyogusa mwathirika wa hao wadudu
 
Ni sahihi. Kuna dawa pia hua zinapunguza virus kuzaliana sana ila kutoka kabisa mwilini uongo.
Dalili zake zinatibika na unaweza ukawa fresh kabisa ila kila baada ya mda zinakuja tena sababu virus bado vinakuwepo.

NGONO zembe zina madhara makubwa sana. Watu wachukue tahadhari.
 
Wasikutishe izo sio genital warts, izo zina kama fluid kwa ndani genita warts haziko hivyo bwana
nenda hospital utapata tiba sahihi.

Muonekano wa genital warts unakua hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…