Wewe unafanya haya kwa Mwanaume anayekuhudumia?Yani atakaehudumiwa na Mimi namuhurumia nitakavyomfanya.... Kwanza hatakiwi kuwasiliana na mtu mwingine yoyote isipokuwa kwa ruhusa yangu,,, anipe kila nitakapohitaji,,,, nikitoka kazini anipokee kwa magoti sio wima wima tu, anatakiwa kunisifia navyojua kumtunza kila wakatiππππππ
Hahaha kazi unayoWanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
Kwenye hilo nina adabu acha kabisa usiombe kukutana na mimi, labda unikere ndo siwezi kukufanyia hayo ila unifurahishe nje hadi ndani napiga magoti kabisa ya kushukuru kwa 'kufurahishwa'Wewe unafanya haya kwa Mwanaume anayekuhudumia?
π π π
Labda kwako, nyumbani kwangu huu upuusi/zi haupo50/50 inaitwa mkuu!
Sitaki kushauriwa na mtu aliechagua kuolewa badala ya kutafuta pesa zake kwanzaKumbe hajakataa kujishughulisha mmekubaliana azae kwanza sasa kwa nini unamzungumzia vibaya??
Unajua kuna ushauri unakuwa kama ni kero tuSasa si unapambana kwaajili ya familia??? Ushauri wake unahusika π―
Namuona wa ajabu maana hata akimaliza mambo ya uzazi bado atasimamia shughuli zangu au atahitaji mtaji wa biashara kutoka kwangu,na hawezi tafuta hela zake pasipo kupata msingi kwangu,kwahyo anatakiwa kutulia mimi ndo derevaSs km umemwambia azae kwanza
Inakuwaje unamuona wa ajabu?
Hapana,aendelee kulea ila sitaki ujuaji nikiwa kwenye mipango yangu ya utafutajiUnataka aache kulea akusaidie kutafuta?
Huwa mnaskia maumivu au ni kama adhabu tukiwafanyaga ?Mtakubali kuvumilia tunayovumilia sisi
Kwa hiyo mkeo akikushauri mambo ya maendeleo tayari ni mjuaji? Kazi tunayo wanawake. Natamani kujua wanaume huwa mnataka wanawake wa aina gani mana mna mapya kila leo.Sitaki kushauriwa na mtu aliechagua kuolewa badala ya kutafuta pesa zake kwanza
Ukiolewa kazi yako ni kumsaidia mumeo majukumu ya nyumbani,mipango za harakati zake usijifanye mjuaji sana kumuingilia,wewe tulia ule ulale
Kamwambie leo usikuNamuona wa ajabu maana hata akimaliza mambo ya uzazi bado atasimamia shughuli zangu au atahitaji mtaji wa biashara kutoka kwangu,na hawezi tafuta hela zake pasipo kupata msingi kwangu,kwahyo anatakiwa kutulia mimi ndo dereva
The solution of course as always is to not focus on what everyone else is doing, and work on being the best version of yourself in a way that is complementary to the other sex. That goes for everyone. Being a passive man or a combative woman is just destroying your own chances.Kakae sijakulazimisha uninukuu,,
Mkuu hebu nitafasirie kwa kiswahili!The solution of course as always is to not focus on what everyone else is doing, and work on being the best version of yourself in a way that is complementary to the other sex. That goes for everyone. Being a passive man or a combative woman is just destroying your own chances.
Huu muda unaotumia kuniandikia ngeli yako ungeutumia kutafutia hela tuThe solution of course as always is to not focus on what everyone else is doing, and work on being the best version of yourself in a way that is complementary to the other sex. That goes for everyone. Being a passive man or a combative woman is just destroying your own chances.