Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Humu jf kama kuna mtu kanigusa tu au kanipuliza kama puto aje
Sasa unahangaika na watu huwajui aisee huwaoni unajua kingereza kizuri siukatafute mzungu tu uolewe uende mambele achana na hawa hata huwaoni huwajui watakutesa tu wanashida sana na maisha yao yamewashinda ni hayo tu.
 
Nimekuelewa asante kwa ushauri
 
Hvi wewe umeoa au umeolewa nauliza tu unawatoto wangapi wa nje na wangapi wa ndoa .

Unakazi inayoingiza kwa mwezi ml5 plus je unabiashara ambayo usiku unaingiza 1 ml per day??

Je ukiwa free unawaza upotolo au mambo yakujenga maisha .??
Kwani si umeolewa lakini?😁
 
mzabzab ndugu yangu ht kutuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…