Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Wewe sema tu unauza kiasi gani?
Point yangu ni hii hapa acha kuwa mbeya kama mwanamke jiheshimu utakuja kusutwa vibaya na dira utavalishwa unamwanandama mwanamke kama wewe ni mwanamke mwenzie wanaume wanatafuta hela kabisa .
Hawana time na uandamanaji ayah isitoshe mwanaume unamwandama mwanamke hadi anashangaa unakula saangapi unalala saa ngapi na unatafuta hela saaa ngapi sikujibu tena nimefunga mjadala nawewe.

Wewe huna hela yakuninunua mimi kwanza siwezi mtu mzima naakili zangu nikalalane na wewe .
Do you know why imetumika hadi imesinyaa mmh ! Sura yako inatosha kwangu kughairi gleen unasura mbaya mwembamba halafu unakitambii aiyaa h .

Mimi sio mzuri wakujisifu hata mimi naridhika na sura niliyepewa.

Huna hela hata ya sabuni licha ya kunipa kwa round moja malaya hutulizwa pale akipewa dawa yake kila siku wewe round moja umekufa huamki kama jogoo mwenye degedege
 
Ahaa mbona unajibu txt za Unique Flower
Amekutuma?
Hayo unayoniuliza yanakuhusu nini?
Utajielewa lini?🤣🤣🤣
 
Sio kazi ya kitoto, hebu uwe na aina hii ya mwanamke kazi kweli kweli🤣🤣🤣
Yuda Yuda sasa ungekuwa mwanamke nikupe mwanaume wangu only for today morning till evening unazima na hiyo afya ya mgogoro ulionayo
 
Yuda Yuda sasa ungekuwa mwanamke nikupe mwanaume wangu only for today morning till evening unazima na hiyo afya ya mgogoro ulionayo
Sasa utasaliti ngoro kama wewe ili uweje, hata uandishi unakupa shida🤣🤣🤣🤣
 
Sasa utasaliti ngoro kama wewe ili uweje, hata uandishi unakupa shida🤣🤣🤣🤣
Unaona hapa ni jf nitakuchokoza hadi raha na bado mie nafurahi wewe unaleta vihasira vyako vya bure😂🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…