Jamani kitaa ni kigumu sana, ukikutana na watu wa namna hii usiache kutoa msaada

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Ukikutana na watu wa namna hii basi fanya kununua kitu
1738255546030.jpg

Hata ukiwa hauna njaa fanya kuwa sehemu ya furaha kwao. Kitaa ni kigumu sana wanandugu.
1738255547983.jpg
 
Huwa nafanya hivyo kuna siku nilikutana na mawakala wanaotembea kwa mguu wanasijiri laini wamechoka na wana njaa hallafu hawana hela.

Nilikuwa na pikipiki wakaniomba lift wakasema hawana wana buku yaani wamesajiri laini moja toka asbuhi hadi saa9 nikawaambia bila buku2 sibebi wakasema haya .... Yote ilikuwa zuga tu kuona kama kweli hawana hela nikawasha niende mara yule wa kike akasema ni mbebe yeye kwa buku1 maana hata nguvu hana amechoka sana nikaichukua ile buku nikamuita na jamaa nikawabeba.

Niliwauliza maswali kadhaa wa kadhaa then tukafika kwa mama ntilie nikawashusha nikawaambie waagize msosi wa nguvu wale washibe walitumia kama buku6 wote nikawaacha wanakula nikawapa na buku10 wagawane 5-5 na ile buku yao.
 
Huwa nafanya hivyo kuna siku nilikutana na mawakala wanaotembea kwa mguu wanasijiri laini wamechoka na wana njaa hallafu hawana hela.

Nilikuwa na pikipiki wakaniomba lift wakasema hawana wana buku yaani wamesajiri laini moja toka asbuhi hadi saa9 nikawaambia bila buku2 sibebi wakasema haya .... Yote ilikuwa zuga tu kuona kama kweli hawana hela nikawasha niende mara yule wa kike akasema ni mbebe yeye kwa buku1 maana hata nguvu hana amechoka sana nikaichukua ile buku nikamuita na jamaa nikawabeba.

Niliwauliza maswali kadhaa wa kadhaa then tukafika kwa mama ntilie nikawashusha nikawaambie waagize msosi wa nguvu wale washibe walitumia kama buku6 wote nikawaacha wanakula nikawapa na buku10 wagawane ten ten na ile buku yao.
Ubalikiwe sana ndugu yangu
 
Be blessed bro, do more kindness
 
Ulifanya vyema, ndugu.
Ubarikiwe!
 
Nina miaka sitoi sadaka makanisani badala yake huwa nafanya hivi huwa nawapa wahitaji moja kwa moja michango ya kanisani nimshaacha muda sasa
Asante sana ubalikiwe

Lakini sasa mtumish Kuna sadaka za aina mbili

Yaan aina za sadaka ni mbili

1. Kwa makuhani, yaan kanisani
2. Kwa wahitaji, yaan masikin, hospital wagonjwa wafungwa na omba omba

Kwahiyo jitaid utoe kote kote mtumish

Yote kwa yote nakusapot sana

MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI SANA
 
Mkuu mi nimeshakuwa kiongozi kanisani kwa awamu tofauti tofauti hivyo hadi nafikia kuacha na kukataa uongozi najua ninacho kifanya 100%.

Waumini wanaweza toa hela kwa umoja na upendo lakini itakayo nunuliwa vitu vya kupeleka kwa hitaji ni robo tu nyingine inapigwa juu kwa juu.

Yaani kama mmechanga 2000 basi wahitaji itawafikia 500 tu. Nimeshaambiwa mimi ni muasi na wameshasubri nipate tatizo wasilete huduma kwangu. Najua nachofanya na kila ninapo toa kwa wahusika huwa wanafurahi mno mbele yangu.

Huu hapa mfano mmoja tu

Niliwahi mpelekea maam mjane mmoja vitu kadhaa wa kadhaa pamoja na nguo nadhani wanaita JAVA kama sio wax Zilikuwa pair 3 kama sijasahau na nilinunua 35k kila pea

Baada ya kumpa yule mama alilia machozi mbele yangu akaniambia nichukue jogoo la kuku nikakataa sasa kipindi nampa alipiga yowee mama jirani akaja ndo akaniambia chukua huyo kuku.......nikachukua.

Kesho yake yule mama alienda kuwashukuru wazazi wangu ukumbuke ni wakijij jirani wala wazazi hawakujua nilichokifanya ndo wakaniambia nilijisikia furaha mno nilipopata taarifa kutoka kwa wazazi.

Yule mama wakati wa mavuno huwa anapeleka nyumbani karanga,mahindi au mpunga halafu wazazi wanani taarifu nafuata. Huwa ansema huyu ni mwanangu kabisa hata akipata wageni waheshima ataenda home kumfuata baba akale kuku pale.
 
"Ndani ya ghetto ni mengi yashatukuta,
Lakini' masela bado tunakomaa kutafuta,
Bado tunazisaka' hata kwenye vichaka,
Mtafutaji hachoki, akichoka ndo ameshapata,
Japo sometimes kile kitu unachopata,

Ni'Tofauti kabisa na kile hata unachokitaka"
-
Ngwair
 
Huwa nafanya hivyo kuna siku nilikutana na mawakala wanaotembea kwa mguu wanasijiri laini wamechoka na wana njaa hallafu hawana hela.

Nilikuwa na pikipiki wakaniomba lift wakasema hawana wana buku yaani wamesajiri laini moja toka asbuhi hadi saa9 nikawaambia bila buku2 sibebi wakasema haya .... Yote ilikuwa zuga tu kuona kama kweli hawana hela nikawasha niende mara yule wa kike akasema ni mbebe yeye kwa buku1 maana hata nguvu hana amechoka sana nikaichukua ile buku nikamuita na jamaa nikawabeba.

Niliwauliza maswali kadhaa wa kadhaa then tukafika kwa mama ntilie nikawashusha nikawaambie waagize msosi wa nguvu wale washibe walitumia kama buku6 wote nikawaacha wanakula nikawapa na buku10 wagawane ten ten na ile buku yao.
Buku 10 wagawane ten ten. Mkuu samahani lakini huo mgawanyo ulikuwa na waina gani mpaka hizo ten ten mbili zikapatikana kwenye 10 moja
 
Back
Top Bottom