Jamani kosa langu lipi hapa

Aisee vijana tunakwama sana, yaani mimi nilivyo na mshipa wa aibu siwezi kwenda kula sehemu free bila kulipia hata siku 3 mfululizo. Hapo dada umefanya vyema sana na ili kujua mahusiano yao.

Na kwa huyo kijana kwenda kumwambia mmeo basi jiongeze dadangu katika mambo mawili makuu.
1. Huyo kijana kuna maslahi binafsi kwa bosi huenda mmeo huyo kijana ni bosi wake na anajikomba.

2. Huyo kijana ni chakula tosha cha mmeo na mmeo haambiliki.

3. Huyo mmeo ni chakula tosha cha mmeo na hakuna cha kuwatenganisha.

4. Huyo kijana huenda anayo siri ya mmeo kubwa sana ya mchepuko wake wa nje na yeye ndo kuwadi wake. Small things creats huge things at a certain time.

Cha kufanya kaa na mmeo myaongee vizuri na kwa vile mmeo unae toka kitambo jaribu kumchunguza nadhani utajua kati ya hayo niliyosema hapo juu.
 
Ondoa shaka kabisa upo sahihi sana , jambo la muhimu kaa na mumeo mueleweshe kwamba haukuwa na nia mbaya ni kuchukua tahadhali tu juu ya watoto na familia. Ongea naye vizuri tu wakati mpo faragha....
 
MUNGU akulinde na familia yako
 
hapo shona tulia ni kheri ulaumiwe katika jambo unaloona umefanya vema
 
Nyinyi kwenu ni mabwege na mpaka leo wamekuambukiza huo ubwege kupenda kulishwalishwa bure. Mimi kwetu nikiwa form 2 niliwahi fukuza mtu mzima asiwe anakula kwetu na nikakubaliwa. Ni baada ya kugundua anafanya kazi, anaenda bar kisha anakuja kula kwetu kwa kisingizio cha urafiki wa familia. Kwake hanunui chakula inavyostahili maana hali hicho chakula, sisi tunamlisha minofu nyumbani yeye kwao wanae wanakula ugali matembele. Nikatimua huyo mpuuzi kwa ustawi wa familia yake

Hao wageni walikuwa wanawala dada zako kama unavyomtetea hapa huyo bwege, na wazazi wako walikuwa wanakubali ili wasiwaonee wivu. Ubwege huo
 
Picha ya huyo mtoto wako mgeni wa miaka 17 tumwone tafadhari. Ndo tumhukumu huyo nayewahi home pako
 
Mi naona upo sahihi, hivi huyo kaka haoni aibu kuja home na wazazi hawapo wapo watoto tu? Tabia gani hiyo , pia kama ni mvivu kupika si kuna hotels, migahawa akale huko. Mimi mwenyewe ningemwambia aache hiyo tabia.
 
Ww ulitakiwa umwambie mume wako ndo amwambie hayo maneno uliyomwambia wanaume tunajua tunamaliza vipi mambo kama hayo sasa ww hujamshirikisha mume wako ndo tatizo hilo wakat yeye ndo faza house.
 
Unaweza sema hachangii chochote kumbe mumeo hana kazi mwaka mzima na anayewalisha ni huyo unayemmwona mdoweaji.
 
Akizoea sana na kufanya uharibifu kwa huyo binti wa mika 17 au kwa mtoto wako wa miaa 7, huyo mume wako ataona wewe ndiye hukuwa mwangalifu (atakulaumu tu). Wewe umeshatoa msimamo wako, acha aendelee kulea tatizo peke yake.
 
Haha,huyo dogo anaroho ngumu sana aisee.

Mnamlea sana.
 
Hapo mumeo Hana akili kabisa ukitaka kumkomoa kabisa mwambie mumeo rafiki yako ananitongoza uone Kama ataendelea kuja hapo
 
Mwambie anakutongoza uone
 
Nyie ndo mmelea hizo vitu, mtu anakulaje kwenu daily
Ipo siku hata wewe mwenyewe atakutaka
take care
 
Kwa hiyo na wewe unamtetea.
Hutaki bint apaliliwe?
Hapa ni kama huyu mama hana imani na wote 2 kwa huyu bint yaani kuna ka chembechembe ka wivu hivi[emoji28][emoji28]
Hapo nimesimama kama mzazi/mlezi na sio mwanaune mwenye akili za nyegeπŸ˜‚

Bimkubwa anajua akili za wanaune nae sikaishapitia huko, kaishanasa saana kwenye mitego ya watu, pili anajua akili za wanawake nazo, ndio maana anataka kufanya uNG'OLO KANTE(anakata umeme) πŸ˜‚
 
Labda huyo msela ndio hirizi yake ya kuingiza hela!..
 
SISI WANAUME TULIOKUWA NA AKILI TIMAMU HATUWEZI KURUHUSU MWANAUME YOYOTE KUWA NA MAZOEA NA WIFE KWASABABU MWISHO WAKE TUNAUJUA,
UYO MUMEO NI MVULANA SIO MWANUME, WANAUME TUNAJUA MADHARA YAKE.
LAKINI KUNA JAMBO LINGINE LINAWEZA LIKAWA LINAENDELEA BAINA YAO, PENGINE MUMEO ANAWEKWA NA UYO KIJANA AU UYO KIJANA NI MSENGE WA MUMEO, UYO NI KIJANA NI MKE MWENZIO.... CHUNGUZA KWA KINA. ANACHOKIFANYA MUMEO SIO KITU CHA KAWAIDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…