mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 663
- 714
Aisee vijana tunakwama sana, yaani mimi nilivyo na mshipa wa aibu siwezi kwenda kula sehemu free bila kulipia hata siku 3 mfululizo. Hapo dada umefanya vyema sana na ili kujua mahusiano yao.
Na kwa huyo kijana kwenda kumwambia mmeo basi jiongeze dadangu katika mambo mawili makuu.
1. Huyo kijana kuna maslahi binafsi kwa bosi huenda mmeo huyo kijana ni bosi wake na anajikomba.
2. Huyo kijana ni chakula tosha cha mmeo na mmeo haambiliki.
3. Huyo mmeo ni chakula tosha cha mmeo na hakuna cha kuwatenganisha.
4. Huyo kijana huenda anayo siri ya mmeo kubwa sana ya mchepuko wake wa nje na yeye ndo kuwadi wake. Small things creats huge things at a certain time.
Cha kufanya kaa na mmeo myaongee vizuri na kwa vile mmeo unae toka kitambo jaribu kumchunguza nadhani utajua kati ya hayo niliyosema hapo juu.