Umeme wa buku 10 kwa wiki...kawaida hyo....umesahau kuweka na pasi kwenye list yakoMimi mke wangu na watoto wawili wadogo
TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima
Tusaidiane jamaani mawazo
Unaposema mara moja moja manake nini🙂 Unajua friji yako ni Watts ngapi? Taa za usalama je? Pasi?Mimi mke wangu na watoto wawili wadogo
TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima
Tusaidiane jamaani mawazo
Haiwezekani hiyo.Kwa vifaa alivyoorodhesha huo ni wa kutumia hadi wiki nne "kasarobo".Umeme wa buku 10 kwa wiki...kawaida hyo....umesahau kuweka na pasi kwenye list yako
Vipi kuhusu matumizi ya pasi?Mimi mke wangu na watoto wawili wadogo
TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima
Tusaidiane jamaani mawazo
Vipi kuhusu matumizi ya pasi?
Friji inatakiwa kuwashwa muda wote mkuu usizime friji!
Japo kwa vitu ulivyotaja hapo kwa wastani hata kama unatumia pasi unatakiwa kwa wastani utumie units 2 kwa siku.
Umeitoa kijiwe gani mkuu🤣Sasa nani kakuambia fridge iwashwe mara moja moja?
Usizime fridge utumie umeme kihalali.
Naunga mkono hojaMbona kawaida hiyo, jizoeshe kuweka hata umeme wa laki kwa mara moja utaachana na hayo malalamiko!
Yakutozima friji umeitoa kijiwe gani mkuuVipi kuhusu matumizi ya pasi?
Friji inatakiwa kuwashwa muda wote mkuu usizime friji!
Japo kwa vitu ulivyotaja hapo kwa wastani hata kama unatumia pasi unatakiwa kwa wastani utumie units 2 kwa siku.
Itakuwa Kuna mpangaji mwenzenu ana matumizi makubwa mno ya umeme chunguzeni vizuriYa kupanga mkuu