fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Hayo ni matumizi ya kawaida kabisaaana unatumia unit 4 kwa siku ni kawaida kwa hivyo vifaa,pia je una bulbs ngapi zonazowashwa na ni za wati ngapi?Mimi mke wangu na watoto wawili wadogo
TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima
Tusaidiane jamaani mawazo