Umeme wa laki? Unasema kwakuwa hujulikani au una maanisha?Mbona kawaida hiyo, jizoeshe kuweka hata umeme wa laki kwa mara moja utaachana na hayo malalamiko!
Umeme wa laki? Unasema kwakuwa hujulikani au una maanisha?
Duh 100k kwa ajiri ya umeme wa nyumbani mara moja kuna matajiri humo jf kweli kweliMbona kawaida hiyo, jizoeshe kuweka hata umeme wa laki kwa mara moja utaachana na hayo malalamiko!
Duh 100k kwa ajiri ya umeme wa nyumbani mara moja kuna matajiri humo jf kweli kweli
Sijashtuka mkuu, hizi ni comment zilizozoeleka tayari, swali ni kuwa;Kwani shida iko wapi? Laki imekushtua hivyo, kama mita unatumia mwenyewe hakuna cha ajabu!
Mkuu wewe unafikiri tunanunua kidogo kidogo mpaska umeme wa 2k kwa hiari au bajeti na vipaumbele ndo vinagoma?Nadhani hujaelewa context, huo umeme unaweza kwenda mpaka miezi miwili au mitatu! Mantiki yangu asinunue kidogo kidogo, hiyo pinch anaiona kwasababu hiyo!
Peke yanguAngalia power ratings ya kila kifaa chako cha umeme.
Record units zilizopo then zima vifaa vyote ndani ya nyumba, subiri kama one hr then angalia kama kuna umeme umetumika, ni kiasi gani.
Je, nyumba ipo separate au ni apartment imeungana na nyingine, unatumia meter yako au ni shared?
Anapikia umemeMimi mke wangu na watoto wawili wadogo
TV, radio, friji inawashwa mara moja moja, taa tunazima
Tusaidiane jamaani mawazo