Umeweka umeme hv karibuni?? Kama ndio basi njoo utuambie mwanzoni ulikuwa unatumiaje? Ila kabla ya yote tafuta fundi aangalie upya umeme unapotea wapi!! Kwa vifaa ukivyotaja labda kama fridge iko on muda wore..
Kingine unaweza kufanya simple utafiti kwa mf unazima vifaa vyote mnapoenda kulala usiku zikibaki TAA za nje then angalia units zipo ngapi. Ukiamka asubuhi kesho angalia umeamka na units ngapi..
Baada ya hapo kesho jioni washa fridge masaa 24 yani ukiwasha kesho 2 usiku iache on mpaka kesho kutwa j3 saa 2 usiku ukifanya hvyo utagundua nani mwizi wa units zako..
Kama hautogundua tatizo ni nini tafuta fundi mzuri aje akague mfumo mzima wa wiring binafs ulikuwa week 2 taa zinaungua nilipoleta fundi tatizo limekwisha