Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

Kumbuka kuna msemo usemao wajinga ndio waliwao😁
 
That’s a fool’s gold. Hata akipewa sidhani kama atajiita (au atataka watu wengine wamuite) Dr. Lissu kama wafanyavyo vilaza wa taifa hili. Self-assured people don’t need that behind their names. Nyerere, Mwinyi na Mkapa nao walitunukiwa hizo degrees za heshima, lakini hawakujihangaisha nazo!
 
Makamba ni kilaza sana. Hakuna kitu pale
 
Jaa yuko vizuri
 
Naunga mkono hoja.Amemtendea haki.Hata alipompopoa kuhusiana na kumfanya mtakatifu nimekubaliana naye.Kwani ameeleza kuwa hata Nyerere mwenyewe angekuwepo angekili kuwa alikuwa binadamu wa kawaida.Mimi naamini Nyerere mwenyewe angepinga vikali kufanywa kuwa mtakatifu.
 
kuna watu tz, ukwel huwa unaitwa kashfa mkuu, waelewe tu.
 
Kuna kipindi aliliponda jeshi la Uganda hadi nikaona kimemo kinapelekwa kule mbele kwake

Kama ilivyo kwa Wanahabari wa Bongo, na Uganda nako eti vijisintofahamu vikitokea ukumbini wanaondoa camera sehemu husika.... panakuwa kimya ghafla, anamulikwa yule kijana mwenye uvimbe kichwani muda wote wa sintofahamu.

Hiyo video uliyoona wanapeleka ki memo ni ipi hiyo? Unayo link ?
 
Gabeji in Gabeji out
 
Hatutoagi kitu kumpa yeyote anayetukosoa zaidi ya kumpa madhila !
Sisi ndio sisi bhana ! Hapana leta chejo bhana 😳!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…