Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Lisu alipokuwa mbunge , hakufanya lolote la kuwasaidia wana Ikungi🤣🤣🤣🤣 Lissu ni mashine kweli.
Naiangalia CCM na Viongozi wake wote sioni mtu wa kumfikia hata robo Tundu Lissu kwa uwezo wa kiakili na maarifa.
Alafu nikiwaza Lissu sio kiongozi naelewa kwa nini nchi yetu ni masikini.
Nashauri tu Idara ya Usalama wa Taifa letu(TISS) imlinde huyu jamaa kwa wivu mkubwa. Na ingependeza kwa wakati ujao akawa Rais wa JMT.
Una matatizo ya akili?.Sasa ndio anajifanya anamuheshimu Nyerere wakati alishasema Mwalimu alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Sitoshangaa siku akianza kumsifia Magufuli ha ha ha😎
Alitusaidia sana.Lisu alipokuwa mbunge , hakufanya lolote la kuwasaidia wana Ikungi
Kwa nini?Una matatizo ya akili?.
Ukiona unamheshimu sana Lissu kwa uwezo unaodhani anao maana yake huko CHADEMA mambumbumbu ni wengi sana.🤣🤣🤣🤣 Lissu ni mashine kweli.
Naiangalia CCM na Viongozi wake wote sioni mtu wa kumfikia hata robo Tundu Lissu kwa uwezo wa kiakili na maarifa.
Alafu nikiwaza Lissu sio kiongozi naelewa kwa nini nchi yetu ni masikini.
Msukuma ni MTU na nusu - anayofanya wewe hata robo hujawahiDokta Jafo,Dokta Musukuma nk waione
Wewe mtu mzima. Achagq kuongea upuuzi ambao hata wewe mwenyewe unajua kuwa ni upuuzi.Ukiona unamheshimu sana Lissu kwa uwezo unaodhani anao maana yake huko CHADEMA mambumbumbu ni wengi sana.
Huyo Lissu ni wa kawaida sana CCM wamejaa werevu wengi, ni chama chenye hazina ya wasomi wa viwango vya juu na ndio wanaweza kuifikisha nchi hapa ilipofika.
Hivi kuna PhD Kihiyo?Kuna PHD za Machawa. Mtu waziri full time anasoma PHD!!!! kumbe wanaandikiwa mpaka PHD ndiyo maana ni vilaza
Kamuelezea na siyo eti kamsifia, mabaya na mazuri yamebalance 50/50. Ndiyo maana kuna point amemfananisha na Kagame bila ya kulitaja jina la Kagame ila madent wakamuelewa na kutoa kicheko.Sasa ndio anajifanya anamuheshimu Nyerere wakati alishasema Mwalimu alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Sitoshangaa siku akianza kumsifia Magufuli ha ha ha😎
Haujasikia mfano wa Botswana kwamba wamefika walipofika na sisi tumebaki tulipo kwa sababu ya choices, tungeweza kuwa mbele sana kimaendeleo kama tungekuwa na mifumo bora, hii mifumo mibovu ndiyo inatusababishia uongozi mbovu tulionao.Ukiona unamheshimu sana Lissu kwa uwezo unaodhani anao maana yake huko CHADEMA mambumbumbu ni wengi sana.
Huyo Lissu ni wa kawaida sana CCM wamejaa werevu wengi, ni chama chenye hazina ya wasomi wa viwango vya juu na ndio wanaweza kuifikisha nchi hapa ilipofika.
Unafikiri nina muda wa kusoma hizo pumba zote?Kamuelezea na siyo eti kamsifia, mabaya na mazuri yamebalance 50/50. Ndiyo maana kuna point amemfananisha na Kagame bila ya kulitaja jina la Kagame ila madent wakamuelewa na kutoa kicheko.
He literally explained his good side, bad side and ugly side kwa usahihi without being hypocrite.
Kawaelezea jinsi Nyerere alivyowasababishia mateso ya kuanzia 1980 mpaka 1985 baada ya kumrudisha Obote kwenye kiti cha enzi jambo ambalo ni ukweli usiopingika ila na mazuri kama ya kutokuwa mwizi wala mbadhilifu tofauti na mijizi inayotawala sasa japo amelaumu huu u-imperial president yeye ndiyo kauweka mpaka marais wanaiba na kufanya maovu mengi huku wakilindwa na mfumo.
Kamlipua na kumsifia.
Yeye ndiyo ana-allocate pesa za serikali? Tumia akili(kama unazo) ujielimishe jinsi migao na control za funds zinavyogawanywa hapo ndipo utakapogundua jinsi ilivyo mbumbumbu. Unakumbuka Jiwe alivyokuwa akipiga watu biti kwamba wakichagua mbunge wa upinzani hawatapata pesa za maendeleo, do you know what that means?Lisu alipokuwa mbunge , hakufanya lolote la kuwasaidia wana Ikungi
Siku utakapokuwa na akili japo kidogo utasoma labda pia na kuelewa utaelewa, possibly umesoma lakini haujaelewa so don't blame nobody.Unafikiri nina muda wa kusoma hizo pumba zote?
Kweli.mkuu Makamba na Polepole hamna kitu tena wa hovyo kuliko hovyo yenyeweWote hao hamna anayemfikia Lissu.
Kabudi angekuwa anasimamia ukweli at least ila hao Makamba na Polepole ni watu wanaojua kupiga mdomo tu. Hawana smartness yeyote ile.
Sio kumdhalilisha Bali ndio ukweli wenyewe. Tatizo lenu machawa mkianza kumsifia mtu hata mabaya yake hamuyaoni...Binadamu awaye yoyote ana pande mbili nzuri na mbaya. Watu wa kweli huongea mazuri ya mtu hadharani na mabaya yake pia hadharaniZitafute hotuba alizokuwa anatoa kwenye Bunge la Katiba kumhusu Nyerere na alivyokuwa akimtuna na kumdhalilisha ndio utajua kwamba Lisu dishi limeyumba na hajui anasimamia wapi. Kwa ufupi ni kigeugeu na mfuata upepo.
Lakini mkitaka viongozi mnanunua chadema na kuwapa uongozi huko.Ukiona unamheshimu sana Lissu kwa uwezo unaodhani anao maana yake huko CHADEMA mambumbumbu ni wengi sana.
Huyo Lissu ni wa kawaida sana CCM wamejaa werevu wengi, ni chama chenye hazina ya wasomi wa viwango vya juu na ndio wanaweza kuifikisha nchi hapa ilipofika.
Alishasema Magufuli alikua mini mzuri wa Malia silo zetu, hakuzigawa kwa wageni.Sasa ndio anajifanya anamuheshimu Nyerere wakati alishasema Mwalimu alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Sitoshangaa siku akianza kumsifia Magufuli ha ha ha😎