Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

🤣🤣🤣🤣 Lissu ni mashine kweli.

Naiangalia CCM na Viongozi wake wote sioni mtu wa kumfikia hata robo Tundu Lissu kwa uwezo wa kiakili na maarifa.

Alafu nikiwaza Lissu sio kiongozi naelewa kwa nini nchi yetu ni masikini.
Lisu alipokuwa mbunge , hakufanya lolote la kuwasaidia wana Ikungi
 
Ukiona unamheshimu sana Lissu kwa uwezo unaodhani anao maana yake huko CHADEMA mambumbumbu ni wengi sana.

Huyo Lissu ni wa kawaida sana CCM wamejaa werevu wengi, ni chama chenye hazina ya wasomi wa viwango vya juu na ndio wanaweza kuifikisha nchi hapa ilipofika.
 
Wewe mtu mzima. Achagq kuongea upuuzi ambao hata wewe mwenyewe unajua kuwa ni upuuzi.

Hakuna mtu CCM. Nasema na nasisitiza hakuna anayemfikia Tundu Lissu hata kwa robo, kwa akili na maarifa.
 
Sasa ndio anajifanya anamuheshimu Nyerere wakati alishasema Mwalimu alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu? Sitoshangaa siku akianza kumsifia Magufuli ha ha ha😎
Kamuelezea na siyo eti kamsifia, mabaya na mazuri yamebalance 50/50. Ndiyo maana kuna point amemfananisha na Kagame bila ya kulitaja jina la Kagame ila madent wakamuelewa na kutoa kicheko.
He literally explained his good side, bad side and ugly side kwa usahihi without being hypocrite.
Kawaelezea jinsi Nyerere alivyowasababishia mateso ya kuanzia 1980 mpaka 1985 baada ya kumrudisha Obote kwenye kiti cha enzi jambo ambalo ni ukweli usiopingika ila na mazuri kama ya kutokuwa mwizi wala mbadhilifu tofauti na mijizi inayotawala sasa japo amelaumu huu u-imperial president yeye ndiyo kauweka mpaka marais wanaiba na kufanya maovu mengi huku wakilindwa na mfumo.
Kamlipua na kumsifia.
 
Ukiona unamheshimu sana Lissu kwa uwezo unaodhani anao maana yake huko CHADEMA mambumbumbu ni wengi sana.

Huyo Lissu ni wa kawaida sana CCM wamejaa werevu wengi, ni chama chenye hazina ya wasomi wa viwango vya juu na ndio wanaweza kuifikisha nchi hapa ilipofika.
Haujasikia mfano wa Botswana kwamba wamefika walipofika na sisi tumebaki tulipo kwa sababu ya choices, tungeweza kuwa mbele sana kimaendeleo kama tungekuwa na mifumo bora, hii mifumo mibovu ndiyo inatusababishia uongozi mbovu tulionao.
 
Kamuelezea na siyo eti kamsifia, mabaya na mazuri yamebalance 50/50. Ndiyo maana kuna point amemfananisha na Kagame bila ya kulitaja jina la Kagame ila madent wakamuelewa na kutoa kicheko.
He literally explained his good side, bad side and ugly side kwa usahihi without being hypocrite.
Kawaelezea jinsi Nyerere alivyowasababishia mateso ya kuanzia 1980 mpaka 1985 baada ya kumrudisha Obote kwenye kiti cha enzi jambo ambalo ni ukweli usiopingika ila na mazuri kama ya kutokuwa mwizi wala mbadhilifu tofauti na mijizi inayotawala sasa japo amelaumu huu u-imperial president yeye ndiyo kauweka mpaka marais wanaiba na kufanya maovu mengi huku wakilindwa na mfumo.
Kamlipua na kumsifia.
Unafikiri nina muda wa kusoma hizo pumba zote?
 
Lisu alipokuwa mbunge , hakufanya lolote la kuwasaidia wana Ikungi
Yeye ndiyo ana-allocate pesa za serikali? Tumia akili(kama unazo) ujielimishe jinsi migao na control za funds zinavyogawanywa hapo ndipo utakapogundua jinsi ilivyo mbumbumbu. Unakumbuka Jiwe alivyokuwa akipiga watu biti kwamba wakichagua mbunge wa upinzani hawatapata pesa za maendeleo, do you know what that means?
 
Wote hao hamna anayemfikia Lissu.

Kabudi angekuwa anasimamia ukweli at least ila hao Makamba na Polepole ni watu wanaojua kupiga mdomo tu. Hawana smartness yeyote ile.
Kweli.mkuu Makamba na Polepole hamna kitu tena wa hovyo kuliko hovyo yenyewe
 
Zitafute hotuba alizokuwa anatoa kwenye Bunge la Katiba kumhusu Nyerere na alivyokuwa akimtuna na kumdhalilisha ndio utajua kwamba Lisu dishi limeyumba na hajui anasimamia wapi. Kwa ufupi ni kigeugeu na mfuata upepo.
Sio kumdhalilisha Bali ndio ukweli wenyewe. Tatizo lenu machawa mkianza kumsifia mtu hata mabaya yake hamuyaoni...Binadamu awaye yoyote ana pande mbili nzuri na mbaya. Watu wa kweli huongea mazuri ya mtu hadharani na mabaya yake pia hadharani
 
Ukiona unamheshimu sana Lissu kwa uwezo unaodhani anao maana yake huko CHADEMA mambumbumbu ni wengi sana.

Huyo Lissu ni wa kawaida sana CCM wamejaa werevu wengi, ni chama chenye hazina ya wasomi wa viwango vya juu na ndio wanaweza kuifikisha nchi hapa ilipofika.
Lakini mkitaka viongozi mnanunua chadema na kuwapa uongozi huko.
 
Take my words. Count days, weeks,months and years Tundu Lissu will one day be the President of this country.
 
Back
Top Bottom