Kamuelezea na siyo eti kamsifia, mabaya na mazuri yamebalance 50/50. Ndiyo maana kuna point amemfananisha na Kagame bila ya kulitaja jina la Kagame ila madent wakamuelewa na kutoa kicheko.
He literally explained his good side, bad side and ugly side kwa usahihi without being hypocrite.
Kawaelezea jinsi Nyerere alivyowasababishia mateso ya kuanzia 1980 mpaka 1985 baada ya kumrudisha Obote kwenye kiti cha enzi jambo ambalo ni ukweli usiopingika ila na mazuri kama ya kutokuwa mwizi wala mbadhilifu tofauti na mijizi inayotawala sasa japo amelaumu huu u-imperial president yeye ndiyo kauweka mpaka marais wanaiba na kufanya maovu mengi huku wakilindwa na mfumo.
Kamlipua na kumsifia.