Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

yaani anauzoefu na safari zote hzo na bado katapelewa kwa magufuli.. basi tatizo ni kubwa zaidi poleni sana.
Mwenye uzoefu mimi siyo yeye,yeye anasafiri kwa mwaka mara mbili tu
 
Mbona unajibu kwa hasira kama vile wewe ndiye uliiyetapeliwa ?
 
Nashukhuruni jamani Muhusika ameshafika Songea, sasa hivi anaelekea border ameiwahi gari ya saa 7 mchana Mungu akimjalia usiku mkubwa atakuwa Mozambique mjini
Ila nimejifunza kitu kimoja,usitegemee hapa jamii forumn kama utapata kile ulichokuwa unakitaka,ingawa mimi kwa uzoefu wangu nimekuwa nikiwajibu watu vizuri tu bila kuwabeza,
Anayesemaga Watanzani tunaroho mbaya hakukosea,hata huku tunakoishi ugenini ukimkuta mtu anaongea kiswahili unaamua kuuchuna ili usijulikane wewe ni Mtanzania maana wao ni hatari kwako kuliko hata wenyeji Mzuru,
Tunakutanaga kwenye maboda hawa vijana mabech boy yaani nawakaushia mazima hata nione wanasumbuka au kukosei vipi, mimi sitti neno maana ni watu hatali sana
Mwaka mmoja nilikuwa border ya Mkenda naenda Lichinga kuna vijana walikuwa kama watatu walikuwa wamechukua mizigo yao tatizo likawa lugha,mwenye gari anaongea kireno wao hakipandi, ikabidi mimi niwe mkalimali,wakasema hawana nauli ila wanakokwenda wanamwenyeji dhamana wataweka mizigo yao
Mwenye gari akachukua mizigo akaiweka kwenye Cabin mbele ilikuwa Land cruise
Kumbuka tunatembea lafu road kilometres 270 kuupata mji wa Lichinga,hawa madogo huwa wanasafiri kwa ramani wanaambiwa kabisa mkifika sehemu fulani mjini pamebaki kilometre kadhaa, maana wanakuwaga hawana nauli za kutosha,tulipofika sehemu kabla ya kilometre 70 kuingia mjini tukasimama kuchimba dawa na ilikuwa usiku,
wale vijana wakaenda kwenye Cabin ya gari mbele kulikuwa na abiria wakamwambia tupe hiyo mizigo tumeshafika,
Tunaludi kuingia kwenye gari Vijana hawapo mizigo hamna,Wamozambique watata sana waliniambia wewe ndiyo umekula dili nao,nililipa nauli za watu watatu kila mtu alfu 50,jumla 150,000
Nikaapa sitokuja saidia Mtanzania bech boy hata nimuone anakufa
 
Badilisha mke. Huna mke hapo.
 
Ndo tulivyo na unafiki wetu
 
Sawa mkuu pamoja sana.
Tuhurumie tuu humu kuna watu hatuna exposure na mambo ya kuvuka boda ndio kabisaa hivyo wengi hawawezi kuelewa hizi njia.
 
Sijui akili Iko wapi mke unamuacha akakate tiketi mwenyewe, asafiri mwenyewe kimasihara ikitokea uje uombe ushauri, yaan angalau ungeenda ukamkatie na kumpandisha gar lkn wapi aisee ovyo kabisa, magar ya nyumbani kwenu hamuyajui?
 
mbona latra na polisi wana ofisi hapohapo stendinkwanini haendi ofisini kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…