Nashukulu ndugu yangu,ndiyo maisha
Yaani mimi niko South nije nimkatie mke tiketi Magufuli? Au naota ndotoSijui akili Iko wapi mke unamuacha akakate tiketi mwenyewe, asafiri mwenyewe kimasihara ikitokea uje uombe ushauri, yaan angalau ungeenda ukamkatie na kumpandisha gar lkn wapi aisee ovyo kabisa, magar ya nyumbani kwenu hamuyajui?
Halafu nikuowe wewe,utaweza kwenda kupiga kazi huku umevaa shungi?Piga chini 😂😂😂
Mheshimishe mkeo kwa watu. Hata kama ni mjinga, wewe usiwe mtu wa kumwita mjinga hadharani.Yaani ujinga tu wa mke wangu wa bila kujiongeza,unajua kuna watu wakishaingia pale ndani ya stend ya Magufuri wanakuwaga kama wameingi mahakamani,anapoteza kabisa kujiamini,yaani badala ya kuchaguwa basi analotaka yeye anaishiwa kuchaguliwa na wapiga debe
Mfano mimi basi langu pendwa ni New Force,hunipakii inje ya hapo sababu ziko smart
Naona hujanielewa vizuri wake zetu wako ndani ya Vilakazi street wamevaa mabaibui na majuba wanasambaza mzigo halafu kesho nije nimpige chini haitakuja kutokeaKumbe dini inaruhusu nuchukue tu mkuu jioni ya leo watu wale chai na kalmat
Mtu akikujibu ufikir kwanza kabla ya kuanza kumjib, unapokua na familia Lazima Kuna masuala fulan Lazima ufanye wewe au Kuna mtu unayemwamini anaweza fanya, mfano wewe haupo familia inasafir ungetafta mtu au uwe na mtu unayemjua stend atafanya kazi hiyo, au ndugu kifupi ulichukulia ni kitu kidogo nd shida imeanzia hapo.Yaani mimi niko South nije nimkatie mke tiketi Magufuli? Au naota ndoto
Kwahiyo yeye katapeliwa pesa na siyo safari kama alitakiwa kulipia 64,000 kwenda Songea yeye akalipia 76,000 hapo inaonekana bado atasafiri kwa tickets hio hio tu lakini atakua katumia pesa zaidi ya bei halisi.Unajua wapiga debe kawaambia anaenda Songea wakamkatie tiketi ya kwenda Kyela na hayuko peke yake yuko na abilia mwenye tatizo kama lake,na kumbuka Songea nauli 64,000 wakati Kyele 76,000
tena kwa upunguani uliowajaa wanaamini online ndo wanatapeliwaBadilikeni hivi siku hizi yanakwendaje kukata ticket stendi wakati Kila kitu online
Huyu mke wako anashiida kwanini akubali kunyang'anywa ticket na Kwanini asitoe taarifa polisi baada ya kuona kanyang'anywa ticketing au huyo Mke wako anaonekana anafanya mambo bila kukushirikisha yeye ana fanya jambo badae anakupa taarifa tu.Muendelezo
yaani hawa jamaa inaonekana ndiyo michezo yao,
Nimewasiliana naye akiwa Morogoro anasema konda ameingia lakini hakutaka kumsikiliza na amejaribu kumuita ili niongee naye hakumpa ushirikiano na kumuulize tiketi,ananiambi wamemnyan'ganya,sisi yeye tu bali abilia wakiwa njiani kabla ya kufika Morogoro ambazo mimi nilitaka zije kuwa kama ushahidi akifika Makambako
Yaani inaonekana kwenye haya mabasi kuna unyanyasaji mkubwa wa abili,nitaendele kuwapa mrejesho
Kweli Mimi kuoa Mwanamke mwenye uelewa mdogo sitafanya ujinga huo, na Mwanamke anakua muelewa na mjanja kutokana na jinsi ya Mume wake alivyo.Nilikua naskia tu wanasema kosea kila kitu lakini sio kuoa. Leo ndo nimejua.
Hapo hakuna umakini zaidi ya kutapeliwa abiria kwa kupotoshwa na mawakala.
Wanakuwa na ushindani wa 'kujaza', kwa hiyo wanahadaa na kupokea abiria yeyote mwenye kuelekea njia hiyo na kuwafaulisha kwenye magari mengine njiani.
Hizo ndizo adha za booking 'manually'.
Njia sahihi ni online booking, ama kukatia ticket asubuhi ndani ya bus husika wakati safari inaanza.
[/QU Serikali ilitakiwa kuwaondoa mawakala na kubakisha ofisi tu ili ziwe kama huduma za Bank na wakala wa pesa ili Magufuli stand patule palitakiwa page na ofisi tu yani kama Bank zilivyokua hakuna mawakala nje. Yani mteja unaenda moja kwa moja kwenye ofisi unakata tiketi tu na kila ofisi ya kampuni iwe na mlinzi wake.
Mkuu mke abadilishwi kama mbogaBadilisha mke. Huna mke hapo.
Mtu akikujibu ufikir kwanza kabla ya kuanza kumjib, unapokua na familia Lazima Kuna masuala fulan Lazima ufanye wewe au Kuna mtu unayemwamini anaweza fanya, mfano wewe haupo familia inasafir ungetafta mtu au uwe na mtu unayemjua stend atafanya kazi hiyo, au ndugu kifupi ulichukulia ni kitu kidogo nd shida imeanzia hapo.
Yaani naweza kusema ni uoga fulani ambao huwa wanakuwa nao wanawake,Huyu mke wako anashiida kwanini akubali kunyang'anywa ticket na Kwanini asitoe taarifa polisi baada ya kuona kanyang'anywa ticketing au huyo Mke wako anaonekana anafanya mambo bila kukushirikisha yeye ana fanya jambo badae anakupa taarifa tu.
Mtu akikujibu ufikir kwanza kabla ya kuanza kumjib, unapokua na familia Lazima Kuna masuala fulan Lazima ufanye wewe au Kuna mtu unayemwamini anaweza fanya, mfano wewe haupo familia inasafir ungetafta mtu au uwe na mtu unayemjua stend atafanya kazi hiyo, au ndugu kifupi ulichukulia ni kitu kidogo nd shida imeanzia hapo.
Hao wajanja mara nyingi ndoa zao hazifiki mwisho heli sisi tuliyoowa hawa mafalaKweli Mimi kuoa Mwanamke mwenye uelewa mdogo sitafanya ujinga huo, na Mwanamke anakua muelewa na mjanja kutokana na jinsi ya Mume wake alivyo.
Kama basi alijatoka stendi shuka nenda kituo cha polisi humo Magufuli Bus Terminal.
Kama limetoka mpo njiani mkifika walipo Traffic police apige kelele kuomba msaada.
Au piga simu LATRA mamlaka ya usafiri hotline 0800110020.
Hizi smartphone mnafanyia kazi gani?