Yaani ujinga tu wa mke wangu wa bila kujiongeza,unajua kuna watu wakishaingia pale ndani ya stend ya Magufuri wanakuwaga kama wameingi mahakamani,anapoteza kabisa kujiamini,yaani badala ya kuchaguwa basi analotaka yeye anaishiwa kuchaguliwa na wapiga debeYote ya songea unakata online, Super Feo, New Force, Sama, Maning Nice
Nilikua naskia tu wanasema kosea kila kitu lakini sio kuoa. Leo ndo nimejua.Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Ukimpata mwenza unakuwa umepata wakufanana nae. kama mkeo mjinga wewe ni.........???Yaani ujinga tu wa mke wangu wa bila kujiongeza,unajua kuna watu wakishaingia pale ndani ya stend ya Magufuri wanakuwaga kama wameingi mahakamani,anapoteza kabisa kujiamini,yaani badala ya kuchaguwa basi analotaka yeye anaishiwa kuchaguliwa na wapiga debe
Mfano mimi basi langu pendwa ni New Force,hunipakii inje ya hapo sababu ziko smart
Kwasasa hakuna basi linaloenda songea nauli chini ya elfu 72Yaani ujinga tu wa mke wangu wa bila kujiongeza,unajua kuna watu wakishaingia pale ndani ya stend ya Magufuri wanakuwaga kama wameingi mahakamani,anapoteza kabisa kujiamini,yaani badala ya kuchaguwa basi analotaka yeye anaishiwa kuchaguliwa na wapiga debe
Mfano mimi basi langu pendwa ni New Force,hunipakii inje ya hapo sababu ziko smart
Punguza chaiBora hata yeye kakatiwa ya nje ya mkoa.
Kuna watu walikatiwa ticket za mwendokasi.
Ila kama ulivyoweza omba msaada JF, ilikuwa inawezekana kumkatia ticket online na kulipia kabisa. Yeye angeenda kupanda bus tu.
DAR SONGEA kupitia Iringa 64,000 Kupitia Lindi 74,000Kwasasa hakuna basi linaloenda songea nauli chini ya elfu 72
Tofautisha mtu unayeamua,na mtu anayelazimishwaWatamfikisha tu, kuna siku nilikuwa naenda Njombe safari ya ghafla nikadandia hilo hilo Kyela. Makambako nikapanda ABC kwa tikiti ileile.
Acha uongo,hakuna ABC inayoenda songea,ABC inaishia njombe tu hapo.Watamfikisha tu, kuna siku nilikuwa naenda Njombe safari ya ghafla nikadandia hilo hilo Kyela. Makambako nikapanda ABC kwa tikiti ileile.
Babu uko too slowJamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Siko Tanzania, nazani ningekuwepo huko ningeenda moja kwa moja kituo cha polisi nisingekuja kuomba msada hapaSasa wewe mumewe umemsaidiaje au ndo umekuja kureport jf?
Labda hunijui vizuri ndugu yangu ningekuwa Tanzania nisingekuja kuomba msaada hapa,mimi nazijua sheria zaidi yako,labda nikuulize swali zipi haki zako ukiwa abiria ndani ya basi?Babu uko too slow
Na mke naye yuko too slow
Sijui watoto watakuaje
Type update mke kafika wapi now?Labda hunijui vizuri ndugu yangu ningekuwa Tanzania nisingekuja kuomba msaada hapa,mimi nazijua sheria zaidi yako,labda nikuulize swali zipi haki zako ukiwa abiria ndani ya basi?
Toka mara ya mwisho tumewasiliana akiwa Morogoro maana alisema basi lenyewe halina hata system charge,naamini itakuwa simu imekata chargeType update mke kafika wapi now?
Kuna Kituo cha polisi pale magufuliLabda hunijui vizuri ndugu yangu ningekuwa Tanzania nisingekuja kuomba msaada hapa,mimi nazijua sheria zaidi yako,labda nikuulize swali zipi haki zako ukiwa abiria ndani ya basi?
Mjukuu sisi wazee wa zamani wakati wa ujana wetu hatukuwa kama nyinyi,mnaopotezewa mda wenu na serikali,na hatukuwa tunan'ga'ngania kuishi kwa wazazi na elimu kwetu haikuwa kipaumbele lakina tulikuwa na uwezo mkubwa wa kujua mambo,nikiwa na miaka 20 nilikuwa namiliki paspoti kubwa tena ya inchi ambayo hata Lugha yake siijui kiufasaha sijui hapo ulipo mwenzangu uko wapi?Babu uko too slow
Na mke naye yuko too slow
Sijui watoto watakuaje
Yaani hunijui tu,kwanza niseme hakuna mjinga ambaye anaweza kujiunga na jamii forum,pili mimi nacheza na rate za Dola,Rand,Miticals,Kwacha,,mpaka shilingi,Ukimpata mwenza unakuwa umepata wakufanana nae. kama mkeo mjinga wewe ni.........???
Na kwanini hukumsaidia?
Nimeuliza ukiwa ndani ya basi?Kuna Kituo cha polisi pale magufuli
Wanakera sana hao watu na ukiwasema vizuri wanasnza kujifanya haya maisha tu na sisi tunatafuta watoto wale, namuuliza mi inanihusu nini sasa?Wale wapuuzi ukiwasikiliza Umekwishaaa yani ni wezi balaaa.. Mimo huwa nawakaushia akizidi namuwashia motooo matapeli wakubwa.
Dawa yake kuzuia wale wanaodaka abiria nje na ndani ya stendi na kuwapeleka kwa wakala wa mabasi.Daah wasafiri wananyanyaswa na mamlaka zipo tu..