Haya maelezo yote hayana maana kabisa, wewe umepata wa kufanana nae,Mjukuu sisi wazee wa zamani wakati wa ujana wetu hatukuwa kama nyinyi,mnaopotezewa mda wenu na serikali,na hatukuwa tunan'ga'ngania kuishi kwa wazazi na elimu kwetu haikuwa kipaumbele lakina tulikuwa na uwezo mkubwa wa kujua mambo,nikiwa na miaka 20 nilikuwa namiliki paspoti kubwa tena ya inchi ambayo hata Lugha yake siijui kiufasaha sijui hapo ulipo mwenzangu uko wapi?
Niliondoka Nyumbani kwa kutoraka siyo kwa kuaga,maana tuliamini kuaga ni mkosi nililudi nyumbani nikiwa na miaka 22, na kuondoka na madogo zangu wawili
Changamoto yetu huku tuliko huwezi kuowa wanawake wa huku,ukijiloga wanakuuwa,wanachojali wao ni pesa yako na watoto uliowazalisha na siyo mzee kivile ninacheza na 49,nime
Yaani hunijui tu,kwanza niseme hakuna mjinga ambaye anaweza kujiunga na jamii forum,pili mimi nacheza na rate za Dola,Rand,Miticals,Kwacha,,mpaka shilingi,
Sijui unanipata lakini? Hizo ni hera ambazo unaposafiri kila unapofika border moja kwenda nyingine lazima uzibadilishe,na inabidi uujue mkato wake ili wajanja wasikuibie,na huyo aliyetapeliwa basi maana yake akifika border ya Tanzania na Mozambique kwa jina la mkenda na kwa upande wa Mozambique Congreso itabidi azibadilishe ili apate miticals,na akifika maputo inabidi abadilishe Miticals ili apate Rand,sijui unanielewa,
Sasa sijui wewe na mkeo wenye akili mnaliweza hilo?
Mimi nimeomba msaada sababu siko Tanzania,ningekuwepo Tanzania mbona nawamudu vizuri tu,najua humu wako watu tofauti wenye uzoefu tofauti na ueleo tofauti ambao wangenisaidia kimawazo
Hajui kusoma ?Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Kama basi alijatoka stendi shuka nenda kituo cha polisi humo Magufuli Bus Terminal.Nimeuliza ukiwa ndani ya basi?
Pole sana mkuu hapo Mbezi pana kituo cha polisi na dawati la wasafirishwaji kupeleka malalamiko jaribuni kwenda hapo watawapatia msaada, Mbarikiwe sana.Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Hapo hakuna umakini zaidi ya kutapeliwa abiria kwa kupotoshwa na mawakala.Inashangaza kukosa umakini nao ni janga
Nauli ya Kyela 76000?Unajua wapiga debe kawaambia anaenda Songea wakamkatie tiketi ya kwenda Kyela na hayuko peke yake yuko na abilia mwenye tatizo kama lake,na kumbuka Songea nauli 64,000 wakati Kyele 76,000
Mkuu unasagia kunguni, mpumzishe anastress za mke kufaulishwa [emoji23]Haya maelezo yote hayana maana kabisa, wewe umepata wa kufanana nae,
Unacheza na dola na rand usingempandisha mkeo basi mkweche mpaka anatapeliwa kijinga namna hiyo, wala usingelia lia na hiyo elf 70
Songea mbona kuna kampuni kubwa tu na zina ofisi zinaeleweka? Yaani hadi leo bado kuna watu wanakata tiketi kwa watu au kampuni zisizoeleweka? Waendelee kutupiga hadi tunyooke. Hiyo namba ya gari ipeleke olisi kitengo cha usalama barabarani.Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Nitumie namba yake nimsaidie kwa haraka. Kama hatojali nimpe lift mi naenda Songea na private asubuhi hiiJamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Tiketi yake ya kielektroniki ilioneshaje?Usilolijua sawa na usiku wa giza kumbuka hizo tiketi wamekatiwa ofisini
sawaPunguza chai
yaani anauzoefu na safari zote hzo na bado katapelewa kwa magufuli.. basi tatizo ni kubwa zaidi poleni sana.Mjukuu sisi wazee wa zamani wakati wa ujana wetu hatukuwa kama nyinyi,mnaopotezewa mda wenu na serikali,na hatukuwa tunan'ga'ngania kuishi kwa wazazi na elimu kwetu haikuwa kipaumbele lakina tulikuwa na uwezo mkubwa wa kujua mambo,nikiwa na miaka 20 nilikuwa namiliki paspoti kubwa tena ya inchi ambayo hata Lugha yake siijui kiufasaha sijui hapo ulipo mwenzangu uko wapi?
Niliondoka Nyumbani kwa kutoraka siyo kwa kuaga,maana tuliamini kuaga ni mkosi nililudi nyumbani nikiwa na miaka 22, na kuondoka na madogo zangu wawili
Changamoto yetu huku tuliko huwezi kuowa wanawake wa huku,ukijiloga wanakuuwa,wanachojali wao ni pesa yako na watoto uliowazalisha na siyo mzee kivile ninacheza na 49,nime
Yaani hunijui tu,kwanza niseme hakuna mjinga ambaye anaweza kujiunga na jamii forum,pili mimi nacheza na rate za Dola,Rand,Miticals,Kwacha,,mpaka shilingi,
Sijui unanipata lakini? Hizo ni hera ambazo unaposafiri kila unapofika border moja kwenda nyingine lazima uzibadilishe,na inabidi uujue mkato wake ili wajanja wasikuibie,na huyo aliyetapeliwa basi maana yake akifika border ya Tanzania na Mozambique kwa jina la mkenda na kwa upande wa Mozambique Congreso itabidi azibadilishe ili apate miticals,na akifika maputo inabidi abadilishe Miticals ili apate Rand,sijui unanielewa,
Sasa sijui wewe na mkeo wenye akili mnaliweza hilo?
Mimi nimeomba msaada sababu siko Tanzania,ningekuwepo Tanzania mbona nawamudu vizuri tu,najua humu wako watu tofauti wenye uzoefu tofauti na ueleo tofauti ambao wangenisaidia kimawazo
Unajua wewe siyo kila kitu cha kujibu humu ndani wewe mimi siyo boy naludia tena,siwezi kuandika kila kitu kilivyo sijaja kukuomba msada wa hela wala chakula,na nimesaidia watu wengi hasa wanawake wanaopatwa na matatizo njiani kama kuishiwa na hera na kila kituHaya maelezo yote hayana maana kabisa, wewe umepata wa kufanana nae,
Unacheza na dola na rand usingempandisha mkeo basi mkweche mpaka anatapeliwa kijinga namna hiyo, wala usingelia lia na hiyo elf 70
Siyo kuulizia tu nina mpaka namba zao wahusika na mwezi uliopota nilikuwa Tanzania,nilipitia njia ya lindi kwenda Dar na nikaambiwa kutakuwa na route mpya ya Maning niceUkiwa unafanya kitu chochote fanya utafiti kwanza ameshindwa hata kuulizia magari ya songea ni yapi na baadhi ya details
Nitumie namba yake nimsaidie kwa haraka. Kama hatojali nimpe lift mi naenda Songea na private asubuhi hii
Kusoma kunasaidia nini? Au kuajiliwa na ambao hawakusoma,mbona sasa hivi hata bodaboda wasomi,naongea lugha zaidi ya sita nitajilinganisha na wewe uliyesoma?Hajui kusoma ?
Hilo gari lina usajili wa nchi ganiNamba ya Hilo gari ni G 987 AWY