Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,224
- 2,938
Amna Dada, kunayo nafasi kwenye taasisi inayohudumia kuanzia kindergarten mpaka college hizo ....Ndio siwezi kusonga ugali wa watu wa idadi hiyo.
Na niko Above 35.
Sijui unahitaji nini kingine?
Maana kusema ukweli ndio unageuka mwiba kwangu au?
we nae ni kasongo...NIPENI KAZI JAMANI
Huyo kijana alikua anawapikia watu 1200, au alikua anawasimamia wapishi?Amna Dada, kunayo nafasi kwenye taasisi inayohudumia kuanzia kindergarten mpaka college hizo ....
Na idadi ya wahudumiwa ni zaidi ya 1200 ...
Kuna kijana kaondoka na tulihitaji kuziba gap hilo...
Ila asante Boss wangu 🙏
sijaja inbox usitujumlishe JF nzima..NDUGU ZANGU MNAOKUJA PM, NI KWELI NAHITAJI KAZI ILA HAMPO SERIOUS.
MSITUMIE MATATIZO AU NJAA YA MHITAJI ILI KUMFANYA AJIONE HAFAI KATIKA JAMII.
ASANTENI
Miongoni mwa wapishi...Huyo kijana alikua anawapikia watu 1200, au alikua anawasimamia wapishi?
Asante pia.Amna Dada, kunayo nafasi kwenye taasisi inayohudumia kuanzia kindergarten mpaka college hizo ....
Na idadi ya wahudumiwa ni zaidi ya 1200 ...
Kuna kijana kaondoka na tulihitaji kuziba gap hilo...
Ila asante Boss wangu 🙏
Pole sana! Wazee wanataka kuponea kwenye shida yako.😂NDUGU ZANGU MNAOKUJA PM, NI KWELI NAHITAJI KAZI ILA HAMPO SERIOUS.
MSITUMIE MATATIZO AU NJAA YA MHITAJI ILI KUMFANYA AJIONE HAFAI KATIKA JAMII.
ASANTENI
ephen_ umeenda PM nani kakuambia uendeNDUGU ZANGU MNAOKUJA PM, NI KWELI NAHITAJI KAZI ILA HAMPO SERIOUS.
MSITUMIE MATATIZO AU NJAA YA MHITAJI ILI KUMFANYA AJIONE HAFAI KATIKA JAMII.
ASANTENI
Kumbe wapishi wapo wengi, mpe kazi huyu dada.Miongoni mwa wapishi...
Achana nae.Kumbe wapishi wapo wengi, mpe kazi huyu dada.
Ataweza kusaidiana na wapishi wengine.
Haukua wazi tokea mwanzo akajua mpishi atakua peke yake.
PM maana yake ni Private Message.. uwe na kifua cha kuacha mambo huko huko PM..Umetajwa au nimetaja mtu?
We vipi?
Una shida ili upate msaada kua mpole😒Achana nae.
Yeye alisema mimi peke yangu, kwani angesema kuwa wako wengine nashirikiana nao angepungukiwa nini?
Halafu mtu ukiongea unaonekana mjuaji.
Sijapentaaaaaa!!!
Ndio maana sijasema lolote na sitasema.PM maana yake ni Private Message.. uwe na kifua cha kuacha mambo huko huko PM..
Unawachoresha wenye nia ya kukusaidia, watajua huu mshangazi hautatunza siri za OFISI