Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Muda mwingi nafikiria kuwa na rafiki hasa mwenye jinsia ya KE! Kama upo humu naomba ujitokeze please!!!!
 
Haya mkubwa, watafute tu hao wadada!
Sie wakaka utatutafuta siku gari lako limekwama linahitaji kusukumwa!
 
Haya mkubwa, watafute tu hao wadada!
Sie wakaka utatutafuta siku gari lako limekwama linahitaji kusukumwa!

ha ha ha, kama na wewe ni journalist unakaribishwa usije ukanipita nikipata pancha!
 
Pasco nimeshamuwahi plz.
Mi mwandishi ila kanjanja. Ntakufaa?
 
Last edited by a moderator:
Mh mbona kama mtego?
kuna mtu anatafutwa kung'olewa kucha na meno hapa!

ondoa shaka kabisa sinaa koleo wala bisibisi kama na ww ni mwandishi unakaribishwa sanaaaa.
 
kuna mmoja huwa anaitwa "Mwandishi Wetu" huwa namuona anatupia habari kwenye magazeti yote, hebu jaribu kucheki naye...
 
Katika bibilia yesu anawapa onyo waandishi na mafarisayo akisema:"ole wenu waandishi na mafarisayo" sasa kwanini wewe unawataka waandishi tena wenye jeans year ya "KE" Au wewe fisadi unataka wakusafishe?
 
hebu attach financial statements zako kwanza........
 
Mwandishi wa udaku au udaka..? Funguka zaidi Nokla.. (Ya kichina hii)..
 
Last edited by a moderator:
kuna mmoja huwa anaitwa "Mwandishi Wetu" huwa namuona anatupia habari kwenye magazeti yote, hebu jaribu kucheki naye...

duh! Wewe mkareeee sikukukumbuka kabisa kuwa kuna huyo mwandishi anaejiita mwandishi wetu,jamaa anajitahidi kwakwel kuandikia magezeti mengi NA MWANDISHI WETU jinsia yake ni ipi? Au babu Asprin anajua? Nokla anatafuta mwandishi "kE" sio "mE"
 
Last edited by a moderator:
hebu attach financial statements zako kwanza........

Yaani wewe usihofu kuhusu hilo niko vizuri sana ingawa sijaficha pesa Uswis, karibu sana kama na ww ni mwanishi, then inaonesha wewe ni 'KE' karibu sana tafadhali.
 
Mwandishi wa udaku au udaka..? Funguka zaidi Nokla.. (Ya kichina hii)..

am not so selective in such, kwa yeyote anayeitwa MWANDISHI namuhitaji ila naprefer K
 
Last edited by a moderator:
kuna mmoja huwa anaitwa "Mwandishi Wetu" huwa namuona anatupia habari kwenye magazeti yote, hebu jaribu kucheki naye...

mkuu huyo mwandishi aitwaye na 'mwandishi wetu' anaandika habari za kiuchunguzi sana, nahofia kucha zangu na meno
 
Hahahah... sio mtu mmoja yule mpwa, ni watu tofauti wenye kuficha tu identity zao...

hahahaha. Mpwa umevunja mbavu zangu. Hvi huyo jamaa yukoje.? Kila gazeti namwona
 
Hivi jamani Madame B sio journalist?

mkuu wewe huogopi kuonekana picha za uchi kwenye magazeti?. wanawake wandishi wa habari ni kama maaskari. hawakawii kukuandika magazetini siku urafiki ukifa. saa nyingine anakuanzishia maada na kusema watu wapige simu ili kuchangia maada. chezeya mwandishi weye!. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…