Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
- Thread starter
- #41
Madame B ni mwanamke wa Tanga,wayaweza mapigo ya Tanga weye? Uko tayari kukalishwa kwenye kigoda? Na kubebwa mgongoni? Ukimtaka Madame B aga kabisa kwa wazazi wako maana kuanzia siku hiyo senti tano hutapeleka kwenu na hiyo itakuwa ni baada ya kukabizi kadi ya ATM.La unabisha muulize CHAI CHUNGU (pole kwa yaliyokukuta kaka,ndo uanaume huo).
zimwi likujualo halikuli likakumaliza,..mimi mwenyewe kwetu huko huko nisaidie tu nitakupa feedback
Last edited by a moderator: