Muda mwingi nafikiria kuwa na rafiki hasa mwenye jinsia ya KE! Kama upo humu naomba ujitokeze please!!!!
Hivi jamani Madame B sio journalist?
Hahahahahaaaaaaaaaa Nokla......
Kumbe kuzunguka kote huko, unaniwinda?
Ok, kiufupi mimi ni Mdaku mkubwa sana hapa jijini Dar es Salaam, Ukitaka umbea wote wa Dar, wa Usiku na Mchana nitafute.
Hiyo ndio sifa yangu kubwa, lakini si mwandishi wa habari.
Ila hata kama utaridhia kuwa na mimi tayari utakuwa umechelewa, Kwani tayari nina wangu wa Ubani.... Ben Saanane.
Labda jaribu kwa wandele wenzangu King'asti, queenkami au Mrembo by Nature..........maana nadhani wao wako Single.
Ila sasa hata ukiwapata, Mfuko uwe unasomeka, Maana Mjini Pesa,........ U-handsome kwa mama yako mzazi na ndugu zako waliobakia Duniani.
Kwaheri.
Mdogo wangu mpendwa YNNAH, Kumbe familia yetu ina karama ya Kupendwa eeeee!!!!!!!1
Nikikutazama wewe na kuona akina Bishanga, Baba V, my X Arushaone, akina Nicas Mtei na wenzie sosoliso jinsi wanavyokuwinda, naamini kuwa sie familia yetu tumekoshewa mpendapenda.
Ila mdogo wangu nakutuma kwa Nokla, mwambie amechelewa, si unajua shemeji yako alivyo na Gubu.

Kwani wewe hufahamu my financial position? Hilo halina shida kabisa yaani kumbe na wewe ni mwandishi? Nakutamani? Dah.....
Kwani wewe hufahamu my financial position? Hilo halina shida kabisa yaani kumbe na wewe ni mwandishi? Nakutamani? Dah.....
Ukizidi kujidaidai nitamwaga skendo zako zote kwa Paloma halafu tuone.
ningejua nini? Funguka funguka mkuu....