Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.

Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.

Mdogo wangu mpendwa YNNAH, Kumbe familia yetu ina karama ya Kupendwa eeeee!!!!!!!1
Nikikutazama wewe na kuona akina Bishanga, Baba V, my X Arushaone, akina Nicas Mtei na wenzie sosoliso jinsi wanavyokuwinda, naamini kuwa sie familia yetu tumekoshewa mpendapenda.
Ila mdogo wangu nakutuma kwa Nokla, mwambie amechelewa, si unajua shemeji yako alivyo na Gubu.
Ni kweli dada ila mwenzangu naona umenizidi sijui huwa unawapa nini mana kukuacha pia hawataki pamoja na kuwapa talaka.
 
Bado naendelea kupokea PM, kumbuka zimebaki siku chache tu nisitishe kupokea PM, wahi mapema nafasi zimebaki chacheeeee.....
 
Back
Top Bottom