Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.

Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.

Madame B ni mwanamke wa Tanga,wayaweza mapigo ya Tanga weye? Uko tayari kukalishwa kwenye kigoda? Na kubebwa mgongoni? Ukimtaka Madame B aga kabisa kwa wazazi wako maana kuanzia siku hiyo senti tano hutapeleka kwenu na hiyo itakuwa ni baada ya kukabizi kadi ya ATM.La unabisha muulize CHAI CHUNGU (pole kwa yaliyokukuta kaka,ndo uanaume huo).

Bishanga, Bishanga, Bishanga,
we n'tafute.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaaaaaaa Nokla......
Kumbe kuzunguka kote huko, unaniwinda?
Ok, kiufupi mimi ni Mdaku mkubwa sana hapa jijini Dar es Salaam, Ukitaka umbea wote wa Dar, wa Usiku na Mchana nitafute.
Hiyo ndio sifa yangu kubwa, lakini si mwandishi wa habari.

Ila hata kama utaridhia kuwa na mimi tayari utakuwa umechelewa, Kwani tayari nina wangu wa Ubani.... Ben Saanane.
Labda jaribu kwa wandele wenzangu King'asti, queenkami au Mrembo by Nature..........maana nadhani wao wako Single.
Ila sasa hata ukiwapata, Mfuko uwe unasomeka, Maana Mjini Pesa,........ U-handsome kwa mama yako mzazi na ndugu zako waliobakia Duniani.
Kwaheri.

Ulichomweleza kiko kamili sina cha kuongezea....mjini pesa mengine kijijini eeehh
 
Last edited by a moderator:
Ulichomweleza kiko kamili sina cha kuongezea....mjini pesa mengine kijijini eeehh

sasa wewe unaijui financial position yangu? Pesa sio tatizo tatizo ni kumpata huyo mwandishi kama, uko sawa tuende hatua nyingine sawa?
 
Madame B ni mwanamke wa Tanga,wayaweza mapigo ya Tanga weye? Uko tayari kukalishwa kwenye kigoda? Na kubebwa mgongoni? Ukimtaka Madame B aga kabisa kwa wazazi wako maana kuanzia siku hiyo senti tano hutapeleka kwenu na hiyo itakuwa ni baada ya kukabizi kadi ya ATM.La unabisha muulize CHAI CHUNGU (pole kwa yaliyokukuta kaka,ndo uanaume huo).

Kumbe CHAI CHUNGU kafundishwa maana ya mji...!!!! teh teh teh, nilikuwa najiuliza imekuaje katangaza kuhamia ccm, ndo napata jibu kuwa inawezekana anataka ku "recover" fasta alichopoteza, maana kule ndo pesa amelala
 
Last edited by a moderator:
Muda mwingi nafikiria kuwa na rafiki hasa mwenye jinsia ya KE! Kama upo humu naomba ujitokeze please!!!!

Mimi ninayo taaluma hiyo, lakini nimesitisha kuifanyia kazi kwa muda...
 
sasa wewe unaijui financial position yangu? Pesa sio tatizo tatizo ni kumpata huyo mwandishi kama, uko sawa tuende hatua nyingine sawa?

nlikuwa nakumbushia tu,au airuhusiwi kukumbusha?btw mie sio mwandishi
 
Back
Top Bottom