Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.

Muda mwingi nafikiria kuwa na rafiki hasa mwenye jinsia ya KE! Kama upo humu naomba ujitokeze please!!!!
Hivi jamani Madame B sio journalist?

Hahahahahaaaaaaaaaa Nokla......
Kumbe kuzunguka kote huko, unaniwinda?
Ok, kiufupi mimi ni Mdaku mkubwa sana hapa jijini Dar es Salaam, Ukitaka umbea wote wa Dar, wa Usiku na Mchana nitafute.
Hiyo ndio sifa yangu kubwa, lakini si mwandishi wa habari.

Ila hata kama utaridhia kuwa na mimi tayari utakuwa umechelewa, Kwani tayari nina wangu wa Ubani.... Ben Saanane.
Labda jaribu kwa wandele wenzangu King'asti, queenkami au Mrembo by Nature..........maana nadhani wao wako Single.
Ila sasa hata ukiwapata, Mfuko uwe unasomeka, Maana Mjini Pesa,........ U-handsome kwa mama yako mzazi na ndugu zako waliobakia Duniani.
Kwaheri.
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Kumbe zunguka yote hiyo unamuwinda Madame B... Dada yangu njoo huku Nokla anakuhitaji.

Mdogo wangu mpendwa YNNAH, Kumbe familia yetu ina karama ya Kupendwa eeeee!!!!!!!1
Nikikutazama wewe na kuona akina Bishanga, Baba V, my X Arushaone, akina Nicas Mtei na wenzie sosoliso jinsi wanavyokuwinda, naamini kuwa sie familia yetu tumekoshewa mpendapenda.
Ila mdogo wangu nakutuma kwa Nokla, mwambie amechelewa, si unajua shemeji yako alivyo na Gubu.
 
Kwani wewe hufahamu my financial position? Hilo halina shida kabisa yaani kumbe na wewe ni mwandishi? Nakutamani? Dah.....
 
Last edited by a moderator:
waandishi karibuni sana, msithubutu kuipoteza hii fulsa nafasi bado ipo wazi.....
 
Last edited by a moderator:

shem Madame B wajua nilivyokufa kwa Paloma.. unaponiweka kwenye kundi la hao waseja ni sawa na kumdhalilisha ndugu yako Paloma.. hao wengine ni kweli kabisa.. unaweza kuwafananisha na kundi la simba wenye njaa wakiwa wanawawinda swala mtoni..
 
Last edited by a moderator:
Kwani wewe hufahamu my financial position? Hilo halina shida kabisa yaani kumbe na wewe ni mwandishi? Nakutamani? Dah.....

Hahaha.
Je, ni wapi niliposema mie ni mwandishi wa habari?
Unanitamani au unanipenda?
Funguka Nokla.
 
Ukizidi kujidaidai nitamwaga skendo zako zote kwa Paloma halafu tuone.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.
Je, ni wapi niliposema mie ni mwandishi wa habari?
Unanitamani au unanipenda?
Funguka Nokla.

Anataka akufinyange finyange utwete kisha uombe maji ya kunywa......angejua!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha.
Je, ni wapi niliposema mie ni mwandishi wa habari?
Unanitamani au unanipenda?
Funguka Nokla.

Madame B kwa jinsi ulivyofunguka wewe ni mdaku mkubwa mjini bila shaka umekidhi vigezo za uandishi wahabari, tafadhari nifikilieeee.....
 
Last edited by a moderator:
Ukizidi kujidaidai nitamwaga skendo zako zote kwa Paloma halafu tuone.

oh amu sori my frendi Bishanga.. naomba niiandike tena..

shem Madame B wajua nilivyokufa kwa Paloma.. unaponiweka kwenye kundi la hao waseja ni sawa na kumdhalilisha ndugu yako Paloma.. hao wengine ni kweli kabisa kasoro Bishanga ambae ni kama chui anaewinda mwenyewe..
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahah you have made my day!
Ijumaa Kareem!
 
Last edited by a moderator:
ningejua nini? Funguka funguka mkuu....

Madame B ni mwanamke wa Tanga,wayaweza mapigo ya Tanga weye? Uko tayari kukalishwa kwenye kigoda? Na kubebwa mgongoni? Ukimtaka Madame B aga kabisa kwa wazazi wako maana kuanzia siku hiyo senti tano hutapeleka kwenu na hiyo itakuwa ni baada ya kukabizi kadi ya ATM.La unabisha muulize CHAI CHUNGU (pole kwa yaliyokukuta kaka,ndo uanaume huo).
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…