Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.


zimwi likujualo halikuli likakumaliza,..mimi mwenyewe kwetu huko huko nisaidie tu nitakupa feedback
 
Last edited by a moderator:
zimwi likujualo halikuli likakumaliza,..mimi mwenyewe kwetu huko huko nisaidie tu nitakupa feedback

Una hatari we Nokla......copy: kiplagati26 ( we mutu ya kenya ndito yako inaibiwa we nalala tu,niaje?)
 
Last edited by a moderator:
Ha ha hahhahahhahahahh Mwahhh !

Weekend tayari swits. Madame B.twende zenj
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu Ben Saanane kiplagati26 yuko gado anasubiri uteuzi wa rais,si unajua yeye ndo aliandika acceptance speech ya william the kalenjin?

Umesahau kuwa yeye ni IDP's(internal displaced Persons) wa post election violence ya mwaka 2007.Hana makazi rasmi akaja na gia ya kujiita mjeda.yaani kuweza kutoroka kupitia namanga border kuingia kona Bar tayari ni komando? anatafuta hifadhi kwa Madame B mjanja ambaye amemshtukia . hahhha
 
Last edited by a moderator:

Ndio maana nakupenda mpenzi wangu.
Nakupenda sana.
COPY:
Bishanga, Nokla na Judgement.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ulimpoteza? Madame B mwenyewe hadi sasa bado hajaelewa kwamba anikatalie au vipi sasa inabidi uwe makini....

Hahaha!
Unachekesha wewe.
Eti nikukubali wewe, nimuache mpenzi wangu.
Kakwambia nani?
Sikutaki kbs Nokla, niache na mpenzi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha mkwara huo... Yaani ndio una maana gani? Ila mimi najua moyoni mwako jinsi unavyoni-admire!

Ah wapi!
Siku-admire wala nini, mie nina wangu toka moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…