Madame B ni mwanamke wa Tanga,wayaweza mapigo ya Tanga weye? Uko tayari kukalishwa kwenye kigoda? Na kubebwa mgongoni? Ukimtaka Madame B aga kabisa kwa wazazi wako maana kuanzia siku hiyo senti tano hutapeleka kwenu na hiyo itakuwa ni baada ya kukabizi kadi ya ATM.La unabisha muulize CHAI CHUNGU (pole kwa yaliyokukuta kaka,ndo uanaume huo).
unatupa jongoo na mti wake?
ni kweli nini?
mwisho utakuaje?
Hahahahahaaaaaaaaaa Nokla......
Kumbe kuzunguka kote huko, unaniwinda?
Ok, kiufupi mimi ni Mdaku mkubwa sana hapa jijini Dar es Salaam, Ukitaka umbea wote wa Dar, wa Usiku na Mchana nitafute.
Hiyo ndio sifa yangu kubwa, lakini si mwandishi wa habari.
Ila hata kama utaridhia kuwa na mimi tayari utakuwa umechelewa, Kwani tayari nina wangu wa Ubani.... Ben Saanane.
Labda jaribu kwa wandele wenzangu King'asti, queenkami au Mrembo by Nature..........maana nadhani wao wako Single.
Ila sasa hata ukiwapata, Mfuko uwe unasomeka, Maana Mjini Pesa,........ U-handsome kwa mama yako mzazi na ndugu zako waliobakia Duniani.
Kwaheri.
kanjanja? Kivipi hebu funguka kama vipi we karibu saaana!
Madame B ni mwanamke wa Tanga,wayaweza mapigo ya Tanga weye? Uko tayari kukalishwa kwenye kigoda? Na kubebwa mgongoni? Ukimtaka Madame B aga kabisa kwa wazazi wako maana kuanzia siku hiyo senti tano hutapeleka kwenu na hiyo itakuwa ni baada ya kukabizi kadi ya ATM.La unabisha muulize CHAI CHUNGU (pole kwa yaliyokukuta kaka,ndo uanaume huo).
Muda mwingi nafikiria kuwa na rafiki hasa mwenye jinsia ya KE! Kama upo humu naomba ujitokeze please!!!!
sasa wewe unaijui financial position yangu? Pesa sio tatizo tatizo ni kumpata huyo mwandishi kama, uko sawa tuende hatua nyingine sawa?