Jamani nisaidieni, huyu dada nimempenda bure!

Jamani nisaidieni, huyu dada nimempenda bure!

Nikikamata hela nataka zuru kaburi lake
Hanaga kaburi alichomwa,alikuwa anapenda miti kuliko kitu ingine nadhani atakuwa alichomwa na mafuta ili wasiharibu mazingira,kutokana na wosia wake aliona akitengenezewa jeneza wataaribu Mbao.
Ila aliyetuita wanaume wote ni mbwa hakukosea aisee.
 
Bas hilo lilinipita..yes alikua anapenda mazingira mno mno!..yes wanaume wote ni mbwa kasoro babangu
 
View attachment 1805968
Jamani tuache utani, Miss Tanzania wangu nimempata.
Huyu dada nimempenda kwa jinsi alivyo.
Smile nzuri, kasuka vizuri, na ni mzuri.

Miondoko ya madaha, na anonekana binti wa heshima.
Aliyemwibua huko alikokuwa hajulikani namshukuru.

Mwenye contacts zake naomba anipatie.
Serious nimeitazama hii picha mara kadhaa nimeipenda, nimempenda
yuko vizuri na anaonyesha anaheshima
 
Mkuu nilifikiri ni mimi tu!

Huyu inaonekana ni wale wanawake ambao hata ukikosea anajishusha na kukuomba msamaha. Ni wale wanawake ambao siyo kisirani na watetea 50 kwa 50 kama wale kule twiter.

Tabasamu lake sasa ni balaa tupu.

Mimi nilimzimia toka jana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh kumbe tuko wengi

Ova
 
Back
Top Bottom