Jamani nisaidieni, huyu dada nimempenda bure!

Jamani nisaidieni, huyu dada nimempenda bure!

Naona wengi humu wamempenda huyu mbunge, basi nawaongezea mwingine Huo, cjui mnasemaje?

E2zZUU5XMAQVG9B.jpg
 
Yule mzee alikuwa na lake, haiwezekani jinsi alivokuwa amevaa mzee akamuona yeye tu

Yule Mzee na rafiki yake Ndugai wote wakware!!! Miaka yote huyo mgogo ndio zake hizo ; enzi ya Mwendazake alipokuwa anamshirikisha kuteua manaibu waziri siku moja moja alikuwa anachomeka michepuko yake!!! Mgogo huyo anapenda "UMZINZI"
 
Best tafuta picha yake amevaa sketi ndefu baada ya kurudi Bungeni yaani ndio amekuwa Mcharo zaidi. Nakuombea ufanikiwe uoe kabisa
Ha ha !
Nitaenda ingalau Dodoma nimuone kwa kuibia!
Wasi wasiwangu ataniona nina masikio oversize!
 
Acha izo Mambo. Hata akikukabidhi tu kucha uhudumie utaweza?😅
View attachment 1805968
Jamani tuache utani, Miss Tanzania wangu nimempata.
Huyu dada nimempenda kwa jinsi alivyo.
Smile nzuri, kasuka vizuri, na ni mzuri.

Miondoko ya madaha, na anonekana binti wa heshima.
Aliyemwibua huko alikokuwa hajulikani namshukuru.

Mwenye contacts zake naomba anipatie.
Serious nimeitazama hii picha mara kadhaa nimeipenda, nimempenda
 
Ha ha !
Nitaenda ingalau Dodoma nimuone kwa kuibia!
Wasi wasiwangu ataniona nina masikio oversize!
Hujajiumba hivyo tulizana. Mapenzi hayana kanuni ndio maana unamuona maskini kaolewa na tajiri na kinyume chake.
 
View attachment 1805968
Jamani tuache utani, Miss Tanzania wangu nimempata.
Huyu dada nimempenda kwa jinsi alivyo.
Smile nzuri, kasuka vizuri, na ni mzuri.

Miondoko ya madaha, na anonekana binti wa heshima.
Aliyemwibua huko alikokuwa hajulikani namshukuru.

Mwenye contacts zake naomba anipatie.
Serious nimeitazama hii picha mara kadhaa nimeipenda, nimempenda
Nimezisaka namba zake nimezikosa! Hapa najipanga niende kwa wazazi wake kabisaa akitoka bungeni wazazi wake wamjulishe nishapeleka posa! I'm serious! Asante kwa aliyemuibua tena nilikuwa na angalia live tbc!!
 
Utampendaje binti wa watu bure bure.. Yeye mama yake mzazi tu hakumzaa bure.

[emoji23][emoji1787]
 
Nimezisaka namba zake nimezikosa! Hapa najipanga niende kwa wazazi wake kabisaa akitoka bungeni wazazi wake wamjulishe nishapeleka posa! I'm serious! Asante kwa aliyemuibua tena nilikuwa na angalia live tbc!!
Haloo tutapelekana mbali!
Mi nimewahi kutia nia hapo!!
 
Back
Top Bottom