Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Afu nyang'wale kule ni sitimbi jamani lizee linaonekana halina swaga na hekima pia hana....mzee kama yule kuongelea vazi la binti alompita umri vile ana shida flani akilini mwake....maana ata mtaan tu kwa Wazee wanaojiheshimu Haezi ropokea binti vile labda ataongea na mama flani ongea na yule binti baasii amemaliza hana neno lingine lakini huyu!!!Tongoza ya kizamani, kampenda na anajua binti hawezi kumkubali kaamua kumdhalilisha. Binti mstaarabu Sana akiendelea hivi atafika mbali Ila Kwa Mzee WA Nyang'wale arudishwe Zama za Mawe.
Ha ha ha!
Asante mwanangu mpendwa.yes wanaume wote ni mbwa kasoro babangu
Yule mzee nikimkuta anga za huyo malaika, ama zangu ama zake.Afu nyang'wale kule ni sitimbi jamani lizee linaonekana halina swaga na hekima pia hana....mzee kama yule kuongelea vazi la binti alompita umri vile ana shida flani akilini mwake....maana ata mtaan tu kwa Wazee wanaojiheshimu Haezi ropokea binti vile labda ataongea na mama flani ongea na yule binti baasii amemaliza hana neno lingine lakini huyu!!!
Nimempenda kwa dhati!Hiyo ni tamaa!
Upendo huja pale mkishajuana zaidi.
Haaa haaa haaa ungekomaa kweli kweli🤣🤣🤣Ila kweli anaonekana mstaarabu..Wangari mimi navyojijua nisingetoka nje! Never! Na angenishika mkono mtu ningemuuma😒!
Umasikini unitese na wengine wanitese? How
Ninavyokumbuka Mimi alikuwa na mume wake kisha Siku ya party nadhani birthday, basi wageni waalikwa mmoja wao alikuwa mchepuko wake kinywaji kilivyokolea wakaakonyezana wakaenda toilet akaliwa kimasiara wakafumaniwa kainamishwa no 7.Alikuwa na mume dogodogo miaka 30 kama sikosei.
Narudia tena hujampenda ila umemtamani kutokana na mwonekano/picha yake.Nimempenda kwa dhati!
Usijidai kujua mapenzi, hakuna gwiji bingwa wa mapenzi duniani.
Sana sana unaeleza yale iliyopita wewe mwenyewe.
Tumeambiwa wazee wa busara kama lile Zee La Nyeti La kule Nyang'hwale mko wengi.Narudia tena hujampenda ila umemtamani kutokana na mwonekano/picha yake.
Na kama itakuwa umependa, hujampenda yeye ila umependa picha/mwonekano wake.
Yeye ni zaidi ya umuonavyo!
YesWe ndio Mzee wa Nyang'wale au?
Kuanzia Leo washamba wote waitwe ' Nyang'wale'.
Yaani huyu Mzee si kakataa kuomba msamaha basi sie tumkomeshe asituletee unyang'wale wake Yani binti mrembo, katulia wamama WA Bungeni wanasema anaheshimu kila MTU mpaka ndugu yangu umekufa umeoza! Huyu Baba ashindwe!.Ha ha ha!
Kuna "Minyang'wale" mingi sana bungeni kufuatia ubunge wa sintofahamu wa mwaka 2020.
Lakini Nyang'wale wa Nyang'wale Original-Mbunge mwenyewe Nassor Amar, ni funga kazi!
Ha ha ha!Yaani huyu Mzee si kakataa kuomba msamaha basi sie tumkomeshe asituletee unyang'wale wake Yani binti mrembo, katulia wamama WA Bungeni wanasema anaheshimu kila MTU mpaka ndugu yangu umekufa umeoza! Huyu Baba ashindwe!.