General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Naomba nikuoeeTatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Try me!Wanawake mnafanana kila kitu mnatofautiana mda tu wa kukubal
Hata ww tukikuamulia hpa hpa jukwaan unaingia kweny mstar na tunakutumia[emoji16][emoji16]
HayaNaomba nikuoee
Vyote hivyo vipohamnaga mgegedo wako peke yako kama vile hamanaga papuchi yako peke yako
Ula jua mimi ni mhavidhina...Haya
Ndo nini?Ula jua mimi ni mhavidhina...
Conservative ManNdo nini?
Naunga mkono hoja,Hahahahaaaa Town wengi wenye magari mazuri ni "Drivers" tu.
Walitaka ale bila kuliwa, haiwezekani..! (In Mzee wa Msoga's voice)Nayeye si amekula lift wajameni, nini mbaya hapo😀
No thank you[emoji41]Try me!
In what context?Conservative Man
Basi usiongee jambo usilokuwa na uhakika naloNo thank you[emoji41]
Wewe binti,In what context?
Sawa sawaNilikuwaga sipendi zamani ila baada ya kupata mwanaume mmoja masikini halafu mshenzi ndipo nikajua kumbe wanaume wote ni wale wale tu sasa bora na mimi nitafute wenye pesa ili hata wakinipotezea muda wangu na mimi nimewapotezea pesa zao japo mimi siwezi kumuomba mwanaume pesa sijui kwanini
Na unaamini kuwa mwanaume akifanya maovu kama vile kumsaliti na kumpiga mke wake anatakiwa asamehewe na avumiliwe ila mwanamke akifanya maovu kama vile kumsaliti na kumdharau mume wake anatakiwa apigwe, asalitiwe, aachwe au aongezewe mke?Wewe binti,
Mimi ni mtu ninaeamini katika uanaume wangu,
Naamini mila na desturi za uanaume tangu uumbaji...
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke,
Mwanaume anauwezo zaidi ya mwanamke....
Ushanielewa sasa?
Hapana,Na unaamini kuwa mwanaume akifanya maovu kama vile kumsaliti na kumpiga mke wake anatakiwa asamehewe na avumiliwe ila mwanamke akifanya maovu kama vile kumsaliti na kumdharau mume wake anatakiwa apigwe, asalitiwe, aachwe au aongezewe mke?
Wewe unaamini inatakiwa iweje??Hapana,