General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mwanaume ktk uanaume wake.Wewe unaamini inatakiwa iweje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume ktk uanaume wake.Wewe unaamini inatakiwa iweje??
Mwanaume ktk uanaume wake.
Unajua mwanaume ktk uanaume wake?Na unaamini kuwa ni sawa mwanamke atafute pesa na afanye kazi za ndani wakati mwanaume anatafuta pesa tu?
We bwana we kila mtu ana tafsiri yake juu ya neno mwanaume na uanaume sasa wewe nipe tafsiri yako wewe siyo unakazana mwanaume katika uanaume wake kumbuka hata mashoga na mabasha nao ni wanaume ujueUnajua mwanaume ktk uanaume wake?
Unajua maana ya mwanaume?
Unakosea kusema mashoga na mabasha ji wanaume.We bwana we kila mtu ana tafsiri yake juu ya neno mwanaume na uanaume sasa wewe nipe tafsiri yako wewe siyo unakazana mwanaume katika uanaume wake kumbuka hata mashoga na mabasha nao ni wanaume ujue
Na unaamini kuwa ni sawa mwanamke atafute pesa na afanye kazi za ndani wakati mwanaume anatafuta pesa tu?
Sasa haujajibu hilo swali langu hapo juuUnakosea kusema mashoga na mabasha ji wanaume.
Mimi nataka nikuoee, mengine achana nayo
Swali kutojibiwa bado halina maana kwenye mimi kutakankukuoa au lah....Sasa haujajibu hilo swali langu hapo juu
Kwani aggyjay hakutoshi? Au unataka nimtag kabisa ili aje aone jinsi ambavyo unataka kumsaliti?Swali kutojibiwa bado halina maana kwenye mimi kutakankukuoa au lah....
Swali sio la msingi sana kwenye mahusiano yetu...
Tujikite jinsi ya mimi kuwa pamoja na ww....
Tujikite huko!!!
Sio wote wababaika na magari mkuuGari na dada zetu ni kama mbwa kwa chatu au sumaku na bati
We mtag tu....Kwani aggyjay hakutoshi? Au unataka nimtag kabisa ili aje aone jinsi ambavyo unataka kumsaliti?
Mhm mie sitaki jipa matumaini yasiyokuwepoVyote hivyo vipo
Mimi naona kama ngoma draw, kwani huyo dada naye alikuwa anapanda gari.Ndio tena sio kidogo kabinti kawatu kakaliwa kakadanganywa
Na usijipe kweliMhm mie sitaki jipa matumaini yasiyokuwepo
Na usijipe kweli
Mbona mimi mneniamulia na hamjangongaWanawake mnafanana kila kitu mnatofautiana mda tu wa kukubal
Hata ww tukikuamulia hpa hpa jukwaan unaingia kweny mstar na tunakutumia[emoji16][emoji16]
Ni utani tu. Umetufkiria vibaya mbna hatujakuamulia[emoji16][emoji16]Mbona mimi mneniamulia na hamjangonga
Hayabora hilo unalikubali