Tetesi: Jamani tunaelekea wapi?😰

Akamatwe na kupigw vidole kabla ya kwenda jela. Mkoa wa Mara ni kama vile Zanzibar, umelaanika
 
Dogo alipangiwa kufa hivyo Pindi tu alipozaliwa.
 
Marwa amekosea sana tena kwa kukusudia πŸ’

Tumuombe Mungu atujaalie kutambua wajibu wetu katika malezi ya watoto tunaowazaa, lakini pia atujalie moyo wa bidii katika kazi, maarifa, ustahimilivu na subra pale tunapopitia changamoto za maisha πŸ’

Afya ya akili ni pamoja na kuwaza na kutenda vitu ambavyo vinadhuru wengine, lakini pia vianakuathiri zaidi wewe mwenywe mentally, physically and spirituality πŸ’
 
Madeni ni ugonjwa mwingine kwenye familia. Watu wana stress mtaani kwa ajili ya madeni.
Shida watu hawana elumu ya uwekezaji,again mtu akiwa naive anasukumwa na tamaa ya faida bila kuangalia process,last year nilijaribu biashara niliyofanya piloting kwa muda mrefu,nikaingia maxima haikujibu,ni Pilipili Kali Sana kuimeza,madeni ni shida na hasa kwa wafanyajazi.JATU WAMEKULA,DECI ILIKULA,MR KUKU AMEKULA,MIkopo umiza inakula.Afya ya akili haikwepeki.
 
Huyu inatakiwa abanwe pumzi akikaribia kukata roho aachiwe akihema kidogo abanwe pumzi akikaribia kukata roho aachiwe mpaka uzee wake.

Mapumziko ni saa ya uji tu, nao abanwe pua akihema na mdomo amiminiwe ukiwa na moto ambao utamuunguza ila haumuui. Halafu zoezi la ubanwaji pumzi liendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…